Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kuna kikosi huwa hatupost mara kwa mara cha Frontline. Kinaitwa 21 anti-tank mines, hawa kazi yao ni kutegua mabomu kabla vifaru havijaanza kupita. Pia wanashauri njia bora ya kupita. Saa nyingine wanapasua pori kwa Pori
 
Urusi kupitia Waziri wake wa Mambo ya nje, Zakharova ameiomba Ukraine na Umoja wa Ulaya kumaliza Mtafaruku wa Ukraine kwa njia ya Diplomasia. Ameomba kuondolewa vikwazo ambavyo Urusi imewekewa pia ameomba Putin afutiwe kesi ICC huko The Hague.
View attachment 2557717
Kuna nini? Kwa nini ameiomba Ukraine na Umaja wa Ulaya wamalize Mtafaruku? Kwani Ukraine na Umoja wa Ulaya ndo waliouanzisha huo mtafaruku? Wamwachie mwenyewe Putin alinywe kama alivyoligema.
Eti aondolewe vikwazo na kufutiwa kesi! Huyu njemba Putin dish limeyumba sana.
 
Nadhani Maria ni Msemaji wa Wizara. Cheo chake ni Director of the Information and Press Department of the Ministry of Foreign Affairs of the Russian Federation. Na anayoongea ndo msimamo wa Wizara/Waziri wa mambo ya nje. Vyeo vyao wanavijua wenyewe
View attachment 2557844
Huyu ni mtu mkubwa. Anaongea kama alivyoagizwa na Boss wake. Hapo ujue ni maagizo ya Putin na Serikali yake. Kwa mantiki hiyo, na kwa uzoefu wa kauli za Putin, hapo hakuna kitu. Ni ubabaishaji na Usanii mtupu.
 
Uzuri hati ya kumkamata huwa haina expire date. Hata baada ya miaka 50 utakamatwa tu. Sasa hivi hawezi kwenda kwenye nchi yoyote ambaye ni mwanachama wa ICC. Salama yake asitoke nje ya nchi au aende nchi kama Belarus tu
 
Ukraine ishaweka wazi. Urusi ikataka mazungumzo iondoe vikosi vyake Ukraine. Hatuwezi kuongea na mtu ameshika mtutu. Aweke silaha chini arudi kwake then ndo tuonhee ataijega vipi Ukraine
View attachment 2557730
Putin ni mjeuri, mbabaishaji na mlaghai sana. Hiyo kauli yake na majibu yaliyotolewa na Ukraine yalishawahi kutolewa 2022. Mbona anarudia-rudia kana kwamba Ukraine atabadili majibu/msimamo?
 
Uzuri hati ya kumkamata huwa haina expire date. Hata baada ya miaka 50 utakamatwa tu. Sasa hivi hawezi kwenda kwenye nchi yoyote ambaye ni mwanachama wa ICC. Salama yake asitoke nje ya nchi au aende nchi kama Belarus tu
Hata akikimbilia huko Belarus, wakimpania bado anaweza kukamatwa.
 
Back
Top Bottom