Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Baada ya Maandamano ya Ugumu wa Maisha, Rais wa Ukriane ameisaidia Kenya tani 30,000 🇺🇦 za ngano ambazo zimeshushwa Bandari ya Mombasa.

Rais wa Ukraine amesema ataendelea kuisaidia Afrika bila kujali vitisho vya Urusi kwa Afrika

Meli ya Ukraine ikiwa imetia nanga bandari ya Mombasa
 
Wale Waafrika waliojipeleka Urusi kupigana vita ya Ukriane naona wameanza kuimba Kirusi. Itakuwa wanakaribia kuhitimu. Nawashauri wasiende Ukraine.. Pole kwao. Eti ni Afrika Region ngoja wakakutane na AZOV
View attachment 2561002
Duh! Laiti wangelijua. Wameteuliwa kuwa na cheo cha Marehemu mbolea ya Ukraine. Hawajui kwamba Ukraine sio Congo DRC na wala haifanani na Rwanda.
 
Wale Waafrika waliojipeleka Urusi kupigana vita ya Ukriane naona wameanza kuimba Kirusi. Itakuwa wanakaribia kuhitimu. Nawashauri wasiende Ukraine.. Pole kwao. Eti ni Afrika Region ngoja wakakutane na AZOV
View attachment 2561002
Meat Grinder inawasubiria kwa hamu. Ukiangalia vizuri wengi ni nanga. Nadhani bado hawajahitimu mafunzo.
 
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Meat Grinder inawasubiria kwa hamu. Ukiangalia vizuri wengi ni nanga. Nadhani bado hawajahitimu mafunzo.
Aaah! Hivo-Hivo'Afandeee. Wataenda kuhitimu huko mbele ya wapambanaji wa Ukraine. Kama Mrusi amethubutu kuwapeleka mobilised warusi ndg. zake frontline; atashindwaje kwa mfano kuwapeleka hao majuha Waafrika? Ngoja wakajifunze huko. Tunamwomba Figa na wenzake wasisite na wasichelewe kutupostia mizoga yao mapema iwezekananavyo.😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…