Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida katembelea Bucha na kuweka shada la Maua kwenye kanisa walipouawa halaiki ya Wananchi
20230321_203322.jpg
 
Baada ya Maandamano ya Ugumu wa Maisha, Rais wa Ukriane ameisaidia Kenya tani 30,000 🇺🇦 za ngano ambazo zimeshushwa Bandari ya Mombasa.

Rais wa Ukraine amesema ataendelea kuisaidia Afrika bila kujali vitisho vya Urusi kwa Afrika
20230321_203745.jpg

Meli ya Ukraine ikiwa imetia nanga bandari ya Mombasa
 
Wale Waafrika waliojipeleka Urusi kupigana vita ya Ukriane naona wameanza kuimba Kirusi. Itakuwa wanakaribia kuhitimu. Nawashauri wasiende Ukraine.. Pole kwao. Eti ni Afrika Region ngoja wakakutane na AZOV
View attachment 2561002
Duh! Laiti wangelijua. Wameteuliwa kuwa na cheo cha Marehemu mbolea ya Ukraine. Hawajui kwamba Ukraine sio Congo DRC na wala haifanani na Rwanda.
 
Wale Waafrika waliojipeleka Urusi kupigana vita ya Ukriane naona wameanza kuimba Kirusi. Itakuwa wanakaribia kuhitimu. Nawashauri wasiende Ukraine.. Pole kwao. Eti ni Afrika Region ngoja wakakutane na AZOV
View attachment 2561002
Meat Grinder inawasubiria kwa hamu. Ukiangalia vizuri wengi ni nanga. Nadhani bado hawajahitimu mafunzo.
 
Baada ya Maandamano ya Ugumu wa Maisha, Rais wa Ukriane ameisaidia Kenya tani 30,000 [emoji1255] za ngano ambazo zimeshushwa Bandari ya Mombasa.

Rais wa Ukraine amesema ataendelea kuisaidia Afrika bila kujali vitisho vya Urusi kwa Afrika
View attachment 2560912
Meli ya Ukraine ikiwa imetia nanga bandari ya Mombasa
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Meat Grinder inawasubiria kwa hamu. Ukiangalia vizuri wengi ni nanga. Nadhani bado hawajahitimu mafunzo.
Aaah! Hivo-Hivo'Afandeee. Wataenda kuhitimu huko mbele ya wapambanaji wa Ukraine. Kama Mrusi amethubutu kuwapeleka mobilised warusi ndg. zake frontline; atashindwaje kwa mfano kuwapeleka hao majuha Waafrika? Ngoja wakajifunze huko. Tunamwomba Figa na wenzake wasisite na wasichelewe kutupostia mizoga yao mapema iwezekananavyo.😀😀
 
Back
Top Bottom