Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Aisee we jamaa kweli ni hayawani.
Siwezi kuwa na mahaba kiasi hiki kwa kweli kwa hao watu weupe be it US au Russia na their allies. Hii vita ukweli usemwe chokochoko zote zimeletwa na wamarekani. Hayo ya kuchakazana wacha wauwane. Huwa tunasema waafrika ni wanafiki blah blah kibao...lakini ukweli wazungu ni wanafiki wa kipekee na washenzi. Nashangaa kwanini hoja za Urusi kwenye hili sakata zinafungiwa macho.

Inawezekana Urusi alii underestimate Ukraine, lakini vita lazima iwe ngumu kwa Urusi, hao si waarabu ni wazungu kwa wazungu na zaidi anasaidiwa na NATO kwa mgongo wa nyuma. Si sawa na vita ya Marekani dhidi ya Iraq/Afghanistan. Na civilian wakishakua upande wa serikali vita lazima iwe ngumu.
 
Tarehe 12 Machi 2022, ilionekana ndehe aina ya F/A-18 Hornet Viunga vya Ukraine, haijajulikana nani kaileta.

The F/A-18 Hornet is an all-weather jet aircraft that is used by the U.S. Navy and Marine Corps as both a fighter and attack platform
20220321_085511.jpg
 
Mkuu, sio utukane kwa kila kitu isichopenda. Jifunze kukubali kutokubaliana. Usiwe kama mtu hajaenda shule. Mfano hapa hukuwa na sababu ya kutukana, watu wanakuona mjinga.. Usirudie
Nani kasema nimeenda shule, sijaenda shule ndio maana. Sizungumzii upenzi.. acha ushabiki kwenye vita unaonekana hayawani plus.. Vita ni mbya sio kwa Ukraine wala Russia.. vita ni mbaya haina uzuri.. unaweka ushabiki kwenye vita.. ndio maana nimeona uzi wa kisee. nge tu.. Si shabii upande wowote zaidi ya kuumia katika watu kupoteza maisha n. k
 
Aisee we jamaa kweli ni hayawani.
Siwezi kuwa na mahaba kiasi hiki kwa kweli kwa hao watu weupe be it US au Russia na their allies. Hii vita ukweli usemwe chokochoko zote zimeletwa na wamarekani. Hayo ya kuchakazana wacha wauwane. Huwa tunasema waafrika ni wanafiki blah blah kibao...lakini ukweli wazungu ni wanafiki wa kipekee na washenzi. Nashangaa kwanini hoja za Urusi kwenye hili sakata zinafungiwa macho.

Inawezekana Urusi alii underestimate Ukraine, lakini vita lazima iwe ngumu kwa Urusi, hao si waarabu ni wazungu kwa wazungu na zaidi anasaidiwa na NATO kwa mgongo wa nyuma. Si sawa na vita ya Marekani dhidi ya Iraq/Afghanistan. Na civilian wakishakua upande wa serikali vita lazima iwe ngumu.
Hili ndo tatizo kubwa. Nani alikuambia mimi Mwafrika? Je, ni wa Nchi gani? Au kisa nipo JF napiga lugha?
 
Nani kasema nimeenda shule, sijaenda shule ndio maana. Sizungumzii upenzi.. acha ushabiki kwenye vita unaonekana hayawani plus.. Vita ni mbya sio kwa Ukraine wala Russia.. vita ni mbaya haina uzuri.. unaweka ushabiki kwenye vita.. ndio maana nimeona uzi wa kisee. nge tu.. Si shabii upande wowote zaidi ya kuumia katika watu kupoteza maisha n. k
Utajijua. Sibishani nawe wala sitakuquote tena.
 
Msafara wa Vifaru vya Urusi ulipigwa Ambushi na Vikosi vya Ukraine karibu na mji wa Brovary viunga vya Kyiv. URUSI walikimbia kama hawana akili. Tarehe 12 Machi 2022
20220321_092957.jpg
 
Tarehe 12 pia Ukraine walifanikiwa kuiangamiza Tigr 4x4 all-terrain light armoured vehicle. Hivi vigari Ukraine wanajibutulia tu😂

The GAZ-2330 Tigr is a 4x4 multi-role, all-terrain light armoured vehicle manufactured by Military Industrial Company (BMK).
 
Pia Helkopta mbili za Urusi zilidondoshwa Tarehe 12. Ilikuwa Wilayni Skadovsky
 
Hii ndo 🇺🇦 Anti-tank systems sasa ya Ukraine.
 
Kifaru cha Urusi aina ya BTR-82A kilichakazwa Mkoani Mariupol. Tarehe 12.
20220321_094541.jpg
 
Hii ni BM-21 Grad Multiple Rocket Launchers ya Ukraine
 
Back
Top Bottom