Lisa Rina
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 2,461
- 4,368
Umeitwa hapa?Upuuzi mtupu umeajiliwa na mabeberu, mtu mwenye akili timamu hawezi kukuelewa na propaganda za ajabu
Stand with Russian.
Acha wapigwe mbn upande wa pili uonyeshi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeitwa hapa?Upuuzi mtupu umeajiliwa na mabeberu, mtu mwenye akili timamu hawezi kukuelewa na propaganda za ajabu
Stand with Russian.
Acha wapigwe mbn upande wa pili uonyeshi.
Nilichogundua, Urusi wapo Vizuri angani na Ukraine wapo Vizuri ardhini. Wanapiga ambushi kali sana. Nyingine wanajificha kwenye maji.urusi ameteketeza sana miji ya ukraine, lakini ukweli usemwe, Ukraine pia imeteketeza vifaru vingi sana na vifaa vingi vya kijeshi vya urusi na imeua warusi wengi sana. huu ndio ukweli mchungu. vita wataashinda ila wamesafa kwelikweli. endapo kama wote wangekuwa na uwezo sawa wa kivita, urusi sasaivi angeshanyoosha mikono juu.
hhao wanajitokeza sio kwamba wanapenda, wamepigwa marufuku kutoka nje ya nchi, boda zimefungwa kwa ajili yao, sasa kuliko kukaa bila silaha si bora nipange foleni nichukue silaha bora nishambulie adui, au kuliko kukaa ufe kama kibudu si bora ukafie kwenye battle? ndicho kinachofanyika hapo. ila kungekuwa na mwanya hata kidogo tu wa kutoka nje ya nchi, nakuhakikishia wote hao wangekimbia mbizo hizo ambazo hata hawajawahi kukimbia maisha yao yote.Wananchi wamejitokeza mwa Wingi kujiunga na jeshi la Ukraine.
View attachment 2159833
imagine kama ukraine angekuwa na vifaa bora vya anga? urushi angeshakalishwa hadi sasa, ndio maana rais comedian amekuwa akiomba ndege na silaha za anga kwasababu anajua kwenye ground ameshawameneji na kuwaumiza sana warusi. huu ndio ukweli mchungu.Nilichogundua, Urusi wapo Vizuri angani na Ukraine wapo Vizuri ardhini. Wanapiga ambushi kali sana. Nyingine wanajificha kwenye maji.
ila naamini ukraine wengi walishapita jeshini (national service yao) kwa lazima ndio wakawa raia. kwasababu sio rahisi kumpa zana hizo au hata bunduki tu mtu ambaye hajawahi kupitia mafunzo aende vitani. ingekuwa ni kusacrifice raia. wamepambana sana hii vita na kwa kipindi kifupi sana wameteketeza zana na watu wengi wa russia, hata wakipigwa lakini wameonyesha uanaume. tofauti kabisa na vita alizopigana marekani,ulikuwa mteremko na marekani hajawahi kusuffer loss kubwa namna hiyo kwa kipindi kifupi. ningekuwa mimi ndio russia ningetumia silaha nzitu tu ili kumaliza biashara mapema, anavyoendelea kuwachelewesha wanamuaibisha na kumdhuru mno.
mbona wanaficha sura?,hawajiamini?Tarehe 01 Machi 2022, silaha aina ya NLAWs na Javelins ziliwasili Ukraine. Hizi silaha kazi yake ni kuteketeza Vifaru vya Urusi. Next Generation Light Anti-tank Weapon(NLAW)
View attachment 2158122View attachment 2158123
ubaguzi wa rangi upo eneo lote la former ussr. Urusi sasa kwa ubaguzi wa rangi bora hata Ukraine. though serikali inawajali waafrika ila mtaani raia wanakuona nyani kabisa. they are not used to black people as much as western countries are. unajua wazungu wa magharibi ni wabaguzi lakini bado wanaamini mioyoni mwao kwamba sisi ni wanadamu tu kama wao, na wamekuwa exposed kwa waafrica for years during colonialism, na tumezaliana nao sana. tofauti na russia ambayo haijawahi kutawala africa, watu weusi huko urusi na ukraine (former ussr yote) ni nadra na wala tusiwalaumu, ni kitu kigeni kwao lazima tu watakuwa biased against.Sema hawa ukraine walicho niudhi kufanya ubaguzi wa rangi kwa kuwa isolate waafrika kipindi cha uhamisho
Hapa ndipo unapoona umuhimu wa JKTila naamini ukraine wengi walishapita jeshini (national service yao) kwa lazima ndio wakawa raia. kwasababu sio rahisi kumpa zana hizo au hata bunduki tu mtu ambaye hajawahi kupitia mafunzo aende vitani. ingekuwa ni kusacrifice raia. wamepambana sana hii vita na kwa kipindi kifupi sana wameteketeza zana na watu wengi wa russia, hata wakipigwa lakini wameonyesha uanaume. tofauti kabisa na vita alizopigana marekani,ulikuwa mteremko na marekani hajawahi kusuffer loss kubwa namna hiyo kwa kipindi kifupi. ningekuwa mimi ndio russia ningetumia silaha nzitu tu ili kumaliza biashara mapema, anavyoendelea kuwachelewesha wanamuaibisha na kumdhuru mno.