Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Nadhani yale mabuti ya kung'alisha yameanza pitwa na wakati. Yatabaki kwaajili ya kupigia kwaride. Hawa ni Wanajeshi wa Syria
1651292720656.png
 
Naona Talan wametengeneza hela sana. Hivi viatu wanadai ni vyepesi vitani, vinapitisha hewa. Wakati vita inaendelea Wenzetu wanapiga hela.
1651293868912.png
1651293884263.png
1651293899993.png
1651293916299.png
1651293932204.png
1651293947365.png
1651293961991.png
 
Mwanajeshi wa Ukraine akiwa na wengine wawili wa Ujeruma, wameshaseti bunduki ya kulipulia Vifaru(anti-tank grenade launchers) wanasubiri kifaru kikatize. Hapa wamejificha kwenye handaki
 
Vita yahitaji nguvu. Hiki ni kikosi cha 110th Separate Territorial Defense Brigade cha Ukraine kikifanya mashambulizi
Hapa ni Mkoani Zaporizhia
 
Kikosi cha Border Guard Unit cha Ukraine kilichopo Mariupol.
 
Hili shambulio limefanywa kwa kutumia Silaha aina ya BM-21 Grad. hapa ni Izyum. Vifaru vya Urusi jinsi vinateketea. Hapa walipokuwa wameficha Vifaru vyao ni kijiji cha Zabavne
 
Ukraine kuna Vikosi vingi, ila mimi hiki cha Azov ndo bora kabisa, Wavumilivu, hawakati tamaa, hawakubali kushindwa. Hapa wakionesha umahili wao. Hawa ni Azov ila Special Operations Forces(SOF) wamepelekwa Kyiv
 
Yaani nimecheka Sana, Angalia drone ya Ukraine inavyo wahangaisha Hawa Wanajeshi wa Urusi.
 
Ukraine kuna kikosi ambacho kinatumia Teknolojia sana, Hawatumii nguvu, wao ni akili nyingi. Kinaitwa Kikosi cha 30th Mechanized Brigade. Ndo wamiachilia hivi Video mbili za drone. hapa wameharibu vifaa vya jeshi la Urusi 9P140 (TELAR BM-27 Uragan) tatu, Magari ya Ugavi aina ya 9T452 matano, Malori mawili na risasi nyingi sana zimeteketezwa
 
Mariupol nyumbani kwa Azov inavyoonekana. Warusi wanaogopa na wameshindwa kufika hapa.ndege, kifaru Missile haikatizi. Wameamua kuuzunguka mji mzima. Eti wakifa njaa watatoka. Wakitoka wanatoka na vifaru wanaenda kuleta vyakula na maji. Na Mrusi akisogea ni kwamba anaenda kujiua. Panaogopwa.
 
Kikosi cha 54th Mechanized Brigade kilivyo shambulia base ya Urusi na kiharibu vifsru aina ya BTR-82 na Magari ya ugavi. Hapa ni Staromykhailivka mkoani Donetsk
 
Jana alitumwa Azov mmoja ajisalimishe. Leo kakutwa kauawa. So Azov wamesema bora wafe na mtu kuliko kujipeleka kufa.
20220501_230544.jpg

Hapa alijisalimisha pamoja na watu wengi.
20220501_230554.jpg

Hapa akiwa ameuawa. Nani ajipeleke kufa?

Tutapambana. Afe azov Mmoja wafe Warusi 10.
 
Back
Top Bottom