Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Warusi wakionesha picha za Waume zao waliokufa Ukraine siku ya Uhuru wa Urusi. Sasa ukienda unaniokotea mademu😂😂
20220510_210309.jpg
 
Askari wa Marekani wakiwafundisha Ukraine jinsi ya kutumia Silaha aina ya M777 howitzer. Tangu Wiki iloisha wanafundishwa kutumia baadhi ya Silaha zilizotoka Marrkani
View attachment 2219033
Aisee nilichokuwa nawaza kuhusu hii kitu nimeona kuwa ni sawa, Huu mtambo unatumia Satelite Signals ukisaidiwa na GPS, Kwahiyo ni msaada mkubwa sana kwa Ukraine.
Kwa hii mashine Mrusi hatoboi, ni kama ikifanikiwa kwenda Mariupol Mrusi kaisha.
Angalia hapa:StackPath
 
Leo Urusi wamepoteza sana wakati wakijaribu kuvuka mto Seversky Donets. Hii inabidi itengenezewe movie ya kiviti aisee. Baadaye tunaweza kupata picha zilizo bora.. Huu ni ushindi mkubwa kwa Ukraine
1652343137873.png
 
Vita ya Drone ni hatari sana. angalia hii jinsi warusi wanatafutana
 
Back
Top Bottom