figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #5,381
Hawa Wanajeshi wa Urusi wapo Kazakhstan, wamegoma Kurudi Urusi wakihofia kwamba wanaweza pelekwa Ukraine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wazee wa Russia wamekaa Kama wacambodia wa kutoka Vietnam. Wamekaa kinyonge saana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2336899
mbolea ya samadi nzuri sana
Huyu Katsap atasimulia vizuri sana wenzake jinsi moto wa Ukraine ulivyo.Katsap alivyorudi kwao Urusi. Kakutana na Waliokataa kwenda vitani Ukraine
View attachment 2336902View attachment 2336904
😂😂😂 warusi wanavurugwa kweli anasahau kuwa ana kifaru anapanda baiskeli ukidhani yuko kwenye kifaru.
... ni nani huyu jamaa?Huyu Katsap atasimulia vizuri sana wenzake jinsi moto wa Ukraine ulivyo.
HIMARS inabidi awe na jicho kali sana kufuatilia huu mzigo unapotua ili auangamize kabisa.Hii ni dalili Vifaa vya Urusi vinateketea kwenye Maghala. Hawa wanaleta mzigo mwingine kherson. Uliokuwepo umeenda wapi? Na kwanini hawasongi mbele? Hadi waishiwe ndo watashika adabu
View attachment 2337218
Aibu hii jamani.nchi inawaongopea wanajeshi wakeBaada ya kuwateka Warusi, jamaa ikabidi atest Tactical vest wenyewe wanaziita "SARMAT-M" za Urusi. Zinasaidia mwanajeshi akishambuliwa risasi isimfikie. Inakinga kifua na mgongo. Sasa angalia risasi zinavyopenya kirahisi
View attachment 2336909
mwanajeshi wa Urusi alosahau miguu yake na Mkono Ukraine. Sikufuatilia jina.. Jina lake gumu... ni nani huyu jamaa?
ndo maana awanajeshi wengi wa urusi wanakufa. Sababu wapo wengi, si rahisi kugundua. Hata vifaru vingi vimeungua, sema wanavyo vingi pia. Ila vitaisha tuAibu hii jamani.nchi inawaongopea wanajeshi wake
Aamen.ndo maana awanajeshi wengi wa urusi wanakufa. Sababu wapo wengi, si rahisi kugundua. Hata vifaru vingi vimeungua, sema wanavyo vingi pia. Ila vitaisha tu
Yeah. Ni wengi na kwa kutokuwa na Idadi yao sahihi, ndo maana mizoga yao mingi inabaki maporini na kuwa mbolea ya ardhi ya Ukraine.ndo maana awanajeshi wengi wa urusi wanakufa. Sababu wapo wengi, si rahisi kugundua. Hata vifaru vingi vimeungua, sema wanavyo vingi pia. Ila vitaisha tu
Aibu hii jamani.nchi inawaongopea wanajeshi wake
Tunawaombea Mungu awajalie ujasiri na nguvu kumfurusha uyo Fashisti aondoke Kherson.Asubuhi ya leo tulianza counter offensive ya Kherson
Ama kweli Warusi wataikumbuka sana HIMARS. Imewanyanyasa mno. Hata wakificha wapi inawazibua tu.Huko Kherson Urusi walijitahidi kuficha ghala lao katikati ya Mji wa Nova Kakhovka, lakini HIMARS imeweza kulilipua bila kukosea shabaha
View attachment 2339465