Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hiiimars
Screen_Capture_Img_1129_20221027013109585.jpg
 
Good Morning. Migandamizo inaendelea. Wavamizi Urusi hawatakaa Milele Ukraine. Mrusi ni sawa na Wakoloni waloivamia Africa kwa mabavu na wateka Mababu zetu. Mambo ya Utumwa yalishapitwa na Wakati. Eti anadai wakikamata wananchi wa Ukraine wanadai wamewateka. Unatekaje mtu kwenye nchi yake?

Kazi inaendelea. Urusi wanajuta. Wanajeshi wetu Ukriane wana morali na wanailinda nchi zaidi ya Kinjekitile.
20221027_101613.jpg
20221027_101619.jpg
20221027_101635.jpg
20221027_101640.jpg
20221027_101647.jpg

20221027_102835.jpg
 
Putin naona kama kachanganyikiwa vile. Eti anataka negotiations ifanyike ili wasaini makubaliano ya wao kuyakalia maeneo walioteka (Zaporizhzhia, Donetsk, Kherson na Luhansk) kwa miaka 7 then wanamwachia Ukraine. Eti hatakaa kamwe aondoke hayo maeneo bila kuwa na makubaliano maalum.

Yaani unavamia nyumbani kwa mtu then unajipangia ukae kwa muda gani ndo uondoke.
 
Back
Top Bottom