Wewe
figganigga unatakiwa kuomba kazi ofisi za ccm makao makuu kitengo cha propaganda. Maana akili zako ni kama za marehemu Tambwe aliyenunuliwa kwa bei ya peremende toka CUF na kupewa kitengo cha propaganda na ccm.
Yeye tambwe alikuwa wa hovyo kweli maana mambo yaliyo dhahiri anayapinga kwa hoja dhaifu.
Unajaza mapicha na mavideo ya one sided wakati kiukweli Ukraine wamepata hasara mara tatu zaidi ya warussia. Sababu ni kuwa vita inapiganwa ndani ya ardhi yao. Vifo kwa raia, wanajeshi, ni mara 3 zaidi ya waliokufa kwa upande wa russia ambao wengi ni wanajeshi.
Ukraine wanatoa takwimu za zaidi ya wanajeshi 65000 wa russia wameuliwa. Wakati russia walipeleka jumla ya askari 150k. Kwa hii takwimu ni kwamba nusu ya idadi ya wanajeshi wameuliwa tangu february. Endelea na propaganda mkuu, ila ukweli utajulikana.
FYI Ukraine haiwezi kuwa kama ilivyokuwa mwezi february kabla ya uvamizi wa russia. Zile sehemu za donbass, kherson,Zaporozhizhya, tayari zimeshakuwa sehemu ya russia federation. Zele akiendelea kushupaza shingo ataipoteza pia kharkhiv na Odessa.