Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Yale yale ya kuaminishwa kuwa Russia ina the best air defense system (eti S-400 na S-300). Baada ya HIMARS kupiga military base zao na maghala ya silaha hatusikii tena hizo propaganda.

Hata ile propaganda ya siku 3 atakuwa kamaliza vita hatusikii tena badala yake Putin anaomba mazungumzo ili wamalize vita.

Kwa taarifa tu NATO, USA na washirika wao wana silaha kali sana, sema tu hawataki kumaliza vita. Wanataka Russia akate pumzi mwenyewe kwa kupewa dozi kidogo kidogo.

Kiufupi lengo la US, NATO na washirika ni kumdhoofisha Russia kiuchumi na kijeshi.
 
Nimesema kama warusi ni nyani,hata wewe ni nyani!
Sasa ukimuita binadamu mwenzako nyani,maana yake kidole kimoja kimekugeukia!
Nways sioni logic ya haya malumbano!
Kumbe wewe ni nyani wa Kirusi, basi sawa.Malumbano ni wewe umeyaanzisha bila sababu ya msingi, we unaumia nini Mrusi kuwa kama nyani? Mara ngapi Waafrika tumeitwa nyani?
 
Kumbe wewe ni nyani wa Kirusi, basi sawa.Malumbano ni wewe umeyaanzisha bila sababu ya msingi, we unaumia nini Mrusi kuwa kama nyani? Mara ngapi Waafrika tumeitwa nyani?
Msipunguze stress zenu Kwa kuwaita Urusi nyani,maana haitatokea hivyo!
 
Wewe figganigga unatakiwa kuomba kazi ofisi za ccm makao makuu kitengo cha propaganda. Maana akili zako ni kama za marehemu Tambwe aliyenunuliwa kwa bei ya peremende toka CUF na kupewa kitengo cha propaganda na ccm.
Yeye tambwe alikuwa wa hovyo kweli maana mambo yaliyo dhahiri anayapinga kwa hoja dhaifu.
Unajaza mapicha na mavideo ya one sided wakati kiukweli Ukraine wamepata hasara mara tatu zaidi ya warussia. Sababu ni kuwa vita inapiganwa ndani ya ardhi yao. Vifo kwa raia, wanajeshi, ni mara 3 zaidi ya waliokufa kwa upande wa russia ambao wengi ni wanajeshi.

Ukraine wanatoa takwimu za zaidi ya wanajeshi 65000 wa russia wameuliwa. Wakati russia walipeleka jumla ya askari 150k. Kwa hii takwimu ni kwamba nusu ya idadi ya wanajeshi wameuliwa tangu february. Endelea na propaganda mkuu, ila ukweli utajulikana.

FYI Ukraine haiwezi kuwa kama ilivyokuwa mwezi february kabla ya uvamizi wa russia. Zile sehemu za donbass, kherson,Zaporozhizhya, tayari zimeshakuwa sehemu ya russia federation. Zele akiendelea kushupaza shingo ataipoteza pia kharkhiv na Odessa.
kitu hujaelewa hii vita ni kwamba ni vita ya rusia na nato na si rusia na ukraine, na lengo na US ni kushusha nguvu ya ushawishi wa urusi kiuchumi na kijeshi, na hilo watafanikiwa sababu hakuna vita isiyoacha hasara pande zote mbili, so ukraine na urusi wote watapata heavy loss, nato na us wao wanafyatua tu drones wakiwa kwenye base zao poland na german, wanawaangalia tu kwenye kioo
 
Good morning
20221102_104921.jpg
 
Yale yale ya kuaminishwa kuwa Russia ina the best air defense system (eti S-400 na S-300). Baada ya HIMARS kupiga military base zao na maghala ya silaha hatusikii tena hizo propaganda.

Hata ile propaganda ya siku 3 atakuwa kamaliza vita hatusikii tena badala yake Putin anaomba mazungumzo ili wamalize vita.

Kwa taarifa tu NATO, USA na washirika wao wana silaha kali sana, sema tu hawataki kumaliza vita. Wanataka Russia akate pumzi mwenyewe kwa kupewa dozi kidogo kidogo.

Kiufupi lengo la US, NATO na washirika ni kumdhoofisha Russia kiuchumi na kijeshi.
NASAMS & GEPAD ndizo silaha bora kwa NATO lakini zimeshindwa kuzuia umeme kukatika.
 
Huu uzi umevamiwa na watu wenye ugiligili, sonona, mning'ino wa ukomunisti, ugoto wa mawazo toka kwa watu wenye hamaki inayotaka kusababisha taharuki kwa wengine.

Hayajawa walivyotaka yawe. Wamechanganyikiwa!!!
 
1. They are not informed of what is going on.
2. Very low thinking capacity.
3. Akili zao zimetawaliwa na propaganda za Russia. Eti Russia ni super power.
 
Back
Top Bottom