figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #11,141
Angalia Mrusi anavyo pelekewa moto. Sikiliza mlio wa hii Silaha. Hapa ni Kreminna forest. Ndo maama Mrusi hapendi vita ya Msituni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa Wagner Walikutana na SSO AZOV huko Bakhmut wakisaidiana na Wanajeshi wa Kikosi cha DOZOR. Hili pambano lilichukua masaa matatu na Wanajeshi wa Urusi 35 waliangamizwa.Wagner walijaribu kuvamia positions za Ukraine usiku na hiki ndo kiliwakuta. Sniper na artillery waliwanyoosha huko Bakhmut.
View attachment 2521251
Watu wa air defense system wakipewa Mafunzo jinsi ya kutumia Silaha za NATOView attachment 2520550View attachment 2520551View attachment 2520552View attachment 2520553
Imegundulika kwamba ni S-300/400 AAD air Defense system ya Urusi ililipuliwa
View attachment 2521160
Angalia kilichowakuta Wagnerwa Urusi walipojaribu kuivunja Frontline ya Ukraine. Walikuwa wanalazimisha kupita. Hapa ni Bakhmut
View attachment 2521184
Jamaa kawachachafya balaa. Anamwambia wewe usipige risasi tulia uwe unaniandalia mzigo unanipa mimi nawatwanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2521205
Wavamizi wakipelekewa moto
View attachment 2521211
Angalia kifaru cha Urusi aina ya BMP kilivyopigwa ambush kwa kutumia
View attachment 2521253
Sasa tujiandae kushuhudia. Vita ya ndege. Ndege zishaanza kukusanywa ili zipelekwe Ukraine. Kilichokuwa kinaimarishwa ni Mifumo ya anga. Soon tutaanza kuona anga la Ukraine likipendeza
View attachment 2521309