Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wagner walijaribu kuvamia positions za Ukraine usiku na hiki ndo kiliwakuta. Sniper na artillery waliwanyoosha huko Bakhmut.

View attachment 2521251
Hawa Wagner Walikutana na SSO AZOV huko Bakhmut wakisaidiana na Wanajeshi wa Kikosi cha DOZOR. Hili pambano lilichukua masaa matatu na Wanajeshi wa Urusi 35 waliangamizwa.
 
Sasa tujiandae kushuhudia. Vita ya ndege. Ndege zishaanza kukusanywa ili zipelekwe Ukraine. Kilichokuwa kinaimarishwa ni Mifumo ya anga. Soon tutaanza kuona anga la Ukraine likipendeza
IMG_20230218_094338_933.jpg
 
Hawa ni Kikosi cha Wagners, Wanalalamikia kucheleweshewa Silaha na risasi. Wanalalamika Mamia ya wenzao wanakufa kwa kuishiwa risasi. Hii miili inayoonekana ni Wagners, hata njia ya kuja kuichukua ikazikwe Urusi imekuwa ngumu.

Hapa chini kuna jamaa katafsiri kimachoongelewa

00:00 → 00:04
Every day we lose hundreds of our comrades in battle.
00:04 → 00:13
There could be twice as many of them if the military officials provided us with weapons and ammunition on time.
00:13 → 00:15
Everything we need.
00:15 → 00:20
Stop being lawless. Let us fight. Let us defend our country, our homeland.
00:20 → 00:23
There are hundreds of our guys here.
00:23 → 00:30
Send your children to this war.
 
Back
Top Bottom