figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #12,581
Hii ndo Leopard 2 ya Ujerumani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msikimbie tu tunazi screen shot comment zenuItoshe kukwambia Battle tank ya mjeremani hiyo Leopard 2 ndio the best Battle tank in the world.
Dunia nzima hakuna kifaru chenye accuracy, firepower, speed, maneuverability na uwezo wa kuadapt kwenye different combat situation kama huu mzigo wa mjeremani.
Ni fill digital panel controller, unarusha moto kwa umbali mrefu na bila kumiss target kikoro.
Mjeremani alibembelezwa saana na Dunia ampe dogo mzigo , nae kwa sasa kafungua roho kampa dogo mali.. Hapatoshi.
Kumbuka mjeremani hajawahi kuwa Fala wala kukosea kwenyw ishu ya military equipment technology.
Litakufa jitu mwaka huu. [emoji41]
Msikimbie tu tuna zi screen shot comment zenuNdiyo maana yake. Wakati kinatembea mwendo pungufu wa Mabasi ya Tanzania kwa kilomita tano, chenyewe kitakuwa kinapiga kilomita 500 mbele. Kuna watu wanatishia kutumia Nyukilia!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa kutumia kitu gani?? Hujaona imeandikwa "7.62mm Anti-Aircraft Machine Gani"?? Yaani kinarusha kombora kilomita 500 na wewe ukirusha ndege kukishambulia kinaidungua pia.
Hapa siyo ushabiki. Kwani tangu muanze kusema kuwa tusikimbie si mwaka unaisha sasa. Wataalam wa vita wanasema hii vita siyo ya kuisha leo wala kesho. Halafu jee hicho kifaru kina sifa hizo ama hakina??Msikimbie tu tuna zi screen shot comment zenu
Kwani mimi Nimekwambia vita inaisha leo au kesho sifa ulizozitaja na jamaa kauliza havitaweza kulipuliwa ukamuhakikishia kua hivita haribiwa sasa ngoja viingie front line tuone.Hapa siyo ushabiki. Kwani tangu muanze kusema kuwa tusikimbie si mwaka unaisha sasa. Wataalam wa vita wanasema hii vita siyo ya kuisha leo wala kesho. Halafu jee hicho kifaru kina sifa hizo ama hakina??
Sijasema havitaharibiwa ila vina uwezo wa kujilinda. Hizi ni kama HIMARS jinsi zinavyolindwa. Hata vya Urusi vinaharibiwa lakini kwa sifa zake hivi kuharibiwa si kitu rahisi. Halafu hivi havikai frontline.Kwani mimi Nimekwambia vita inaisha leo au kesho sifa ulizozitaja na jamaa kauliza havitaweza kulipuliwa ukamuhakikishia kua hivita haribiwa sasa ngoja viingie front line tuone.
Hizi tanks zinaenda kutafuna tanks za warusi. Ngoja tusubiri zikianza kupiga mzigo, warusi watatuambia uzuri wa hizi tanks.Leopard 2
View attachment 2568701
Kwanza hadi ukutane nacho uso kwa uso ni kazi sana. Uko mlandizi chenyewe kinakupa shughuli huko huko!!Hizi tanks zinaenda kutafuna tanks za warusi. Ngoja tusubiri zikianza kupiga mzigo, warusi watatuambia uzuri wa hizi tanks.
Muwe mnaandika kwa sitaha kama hivi. Achaneni na matusi. Tumia hii vita kujifunza.Msikimbie tu tunazi screen shot comment zenu
Duh! Pole yake Putin. Atakutwa na makorokoro yake anayojivunia na ktutishia eti ni nyuklia.Mkuu ishu iko confirmed kuanzia Leo mizigo hatari Duniani imewasili Ukraine... the greatest and deadly vehicle and tanks for the best soldiers toka mataifa makubwa Duniani imewasili frontline ya Ukraine tayari kutoa kipondo.
From USA, Germany, UK hawa ndio wana best tanks and vehicle in the world na wamefungua roho na kutoa mzigo.
It's show time...litakufa jitu.
Source; official Defence of Ukraine Twitter page [emoji16]View attachment 2568584
Yaani hawajui ni kwa nini Mrussi anatishia kutumia Nyukilia. Inawezekana Ukraine wameulizwa kama wamesikia jamaa walichosema, wakasema hivyo hivyo wapelekewe mzigo.Muwe mnaandika kwa sitaha kama hivi. Achaneni na matusi. Tumia hii vita kujifunza.
Majipa imani kwamba, Urusi imetumia Teknolojia yake yote japo iibe tairi moja au ipasue kioo cha HIMARS imeshindwa. Inataweza hii? Kumbuka hii hata nyukilia haipenyi.
Mkuu nyuklia ilitumiwa hata na marekani kule japanYaani hawajui ni kwa nini Mrussi anatishia kutumia Nyukilia. Inawezekana Ukraine wameulizwa kama wamesikia jamaa walichosema, wakasema hivyo hivyo wapelekewe mzigo.
Matumizi ya nyukilia ni hatua ya mwisho kabisa kwenye vita, ila wao mapema tu wanakimbilia kusema watatumia Nyukilia kama Uingereza na Ujerumani watapeleka vifaa. Kama hawana hofu ni kwa nini wanasema kuwa watatumia Nyukilia?
Ilikuwa ni hatua ya mwisho kwenye kumaliza vita.Mkuu nyuklia ilitumiwa hata na marekani kule japan
Average range ni 280 km. Frontline ipo Dar, yeye anakutungua akiwa Mkata au Chalinze kwa uzuri tu.Sijasema havitaharibiwa ila vina uwezo wa kujilinda. Hizi ni kama HIMARS jinsi zinavyolindwa. Hata vya Urusi vinaharibiwa lakini kwa sifa zake hivi kuharibiwa si kitu rahisi. Halafu hivi havikai frontline.
Nyukilia ni nyukilia. NATO alishaweka wazi. Vita ya Nyukilia itapiganiwa MOSCOW sio Kyiv tena. So Mrusi asitishie nyukilia akihisi ndo ana nyukilia peke yake.Mkuu nyuklia ilitumiwa hata na marekani kule japan
Usihangaike na wajinga/wapumbavuSijasema havitaharibiwa ila vina uwezo wa kujilinda. Hizi ni kama HIMARS jinsi zinavyolindwa. Hata vya Urusi vinaharibiwa lakini kwa sifa zake hivi kuharibiwa si kitu rahisi. Halafu hivi havikai frontline.
Pia hivyo ndivyo Russia akiamua kufanya atafanya ili amalize vitaIlikuwa ni hatua ya mwisho kwenye kumaliza vita.
Sawa tuliambiwa pia hypersonic haiwezekani kuwepo nayo juzi juzi imefanya yakeNyukilia ni nyukilia. NATO alishaweka wazi. Vita ya Nyukilia itapiganiwa MOSCOW sio Kyiv tena. So Mrusi asitishie nyukilia akihisi ndo ana nyukilia peke yake.
Trump alisema kuna nchi zinatishia nyukilia lakini nyukilia yao ilushaexpire