Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Itoshe kukwambia Battle tank ya mjeremani hiyo Leopard 2 ndio the best Battle tank in the world.

Dunia nzima hakuna kifaru chenye accuracy, firepower, speed, maneuverability na uwezo wa kuadapt kwenye different combat situation kama huu mzigo wa mjeremani.

Ni fill digital panel controller, unarusha moto kwa umbali mrefu na bila kumiss target kikoro.

Mjeremani alibembelezwa saana na Dunia ampe dogo mzigo , nae kwa sasa kafungua roho kampa dogo mali.. Hapatoshi.

Kumbuka mjeremani hajawahi kuwa Fala wala kukosea kwenyw ishu ya military equipment technology.

Litakufa jitu mwaka huu. [emoji41]
Msikimbie tu tunazi screen shot comment zenu
 
Ndiyo maana yake. Wakati kinatembea mwendo pungufu wa Mabasi ya Tanzania kwa kilomita tano, chenyewe kitakuwa kinapiga kilomita 500 mbele. Kuna watu wanatishia kutumia Nyukilia!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kwa kutumia kitu gani?? Hujaona imeandikwa "7.62mm Anti-Aircraft Machine Gani"?? Yaani kinarusha kombora kilomita 500 na wewe ukirusha ndege kukishambulia kinaidungua pia.
Msikimbie tu tuna zi screen shot comment zenu
 
Hapa siyo ushabiki. Kwani tangu muanze kusema kuwa tusikimbie si mwaka unaisha sasa. Wataalam wa vita wanasema hii vita siyo ya kuisha leo wala kesho. Halafu jee hicho kifaru kina sifa hizo ama hakina??
Kwani mimi Nimekwambia vita inaisha leo au kesho sifa ulizozitaja na jamaa kauliza havitaweza kulipuliwa ukamuhakikishia kua hivita haribiwa sasa ngoja viingie front line tuone.
 
Kwani mimi Nimekwambia vita inaisha leo au kesho sifa ulizozitaja na jamaa kauliza havitaweza kulipuliwa ukamuhakikishia kua hivita haribiwa sasa ngoja viingie front line tuone.
Sijasema havitaharibiwa ila vina uwezo wa kujilinda. Hizi ni kama HIMARS jinsi zinavyolindwa. Hata vya Urusi vinaharibiwa lakini kwa sifa zake hivi kuharibiwa si kitu rahisi. Halafu hivi havikai frontline.
 
Msikimbie tu tunazi screen shot comment zenu
Muwe mnaandika kwa sitaha kama hivi. Achaneni na matusi. Tumia hii vita kujifunza.

Najipa imani kwamba, Urusi imetumia Teknolojia yake yote japo iibe tairi moja au ipasue kioo cha HIMARS imeshindwa. Ataweza hii? Kumbuka hii hata nyukilia haipenyi.
 
Mkuu ishu iko confirmed kuanzia Leo mizigo hatari Duniani imewasili Ukraine... the greatest and deadly vehicle and tanks for the best soldiers toka mataifa makubwa Duniani imewasili frontline ya Ukraine tayari kutoa kipondo.

From USA, Germany, UK hawa ndio wana best tanks and vehicle in the world na wamefungua roho na kutoa mzigo.

It's show time...litakufa jitu.

Source; official Defence of Ukraine Twitter page [emoji16]View attachment 2568584
Duh! Pole yake Putin. Atakutwa na makorokoro yake anayojivunia na ktutishia eti ni nyuklia.
 
Muwe mnaandika kwa sitaha kama hivi. Achaneni na matusi. Tumia hii vita kujifunza.

Majipa imani kwamba, Urusi imetumia Teknolojia yake yote japo iibe tairi moja au ipasue kioo cha HIMARS imeshindwa. Inataweza hii? Kumbuka hii hata nyukilia haipenyi.
Yaani hawajui ni kwa nini Mrussi anatishia kutumia Nyukilia. Inawezekana Ukraine wameulizwa kama wamesikia jamaa walichosema, wakasema hivyo hivyo wapelekewe mzigo.

Matumizi ya nyukilia ni hatua ya mwisho kabisa kwenye vita, ila wao mapema tu wanakimbilia kusema watatumia Nyukilia kama Uingereza na Ujerumani watapeleka vifaa. Kama hawana hofu ni kwa nini wanasema kuwa watatumia Nyukilia?
 
Mkuu nyuklia ilitumiwa hata na marekani kule japan
 
Sijasema havitaharibiwa ila vina uwezo wa kujilinda. Hizi ni kama HIMARS jinsi zinavyolindwa. Hata vya Urusi vinaharibiwa lakini kwa sifa zake hivi kuharibiwa si kitu rahisi. Halafu hivi havikai frontline.
Average range ni 280 km. Frontline ipo Dar, yeye anakutungua akiwa Mkata au Chalinze kwa uzuri tu.
 
Mkuu nyuklia ilitumiwa hata na marekani kule japan
Nyukilia ni nyukilia. NATO alishaweka wazi. Vita ya Nyukilia itapiganiwa MOSCOW sio Kyiv tena. So Mrusi asitishie nyukilia akihisi ndo ana nyukilia peke yake.

Trump alisema kuna nchi zinatishia nyukilia lakini nyukilia yao ilushaexpire
 
Sijasema havitaharibiwa ila vina uwezo wa kujilinda. Hizi ni kama HIMARS jinsi zinavyolindwa. Hata vya Urusi vinaharibiwa lakini kwa sifa zake hivi kuharibiwa si kitu rahisi. Halafu hivi havikai frontline.
Usihangaike na wajinga/wapumbavu

1. Hajui ung'eng'e hata hajaelewa kilichoelezwa kwenye sifa za series za Leopard 2. Kwa lugha rahisi unabishana na kilaza. Unapoteza muda wako tu.

2. Pro Russia wanawashwa washwa ndo maana wanakuja kwenye uzi kwa ligi. Daima mtu mjinga/mpumbavu huwa ni mbishi. Mtu mwelevu ni msikivu na hutumia muda mwingi kujifunza mambo kwa wengine.

3. Majority ya pro Russia ni vilaza na wajinga/wapumbavu, pia they are not informed about this war. Wanajazwa propaganda za kijinga wanazibeba.

4. Ukitaka kujua kuwa pro Russia ni wajinga/wapumbavu waambie wakupe ushahidi hawana. Ndiyo maana wamejaa matusi midomoni mwao na hiyo ndo huruka ya mtu mpumbavu. Huwa hawana hoja. Ndiyo maana kutwa nzima wanaimba ushoga ushoga. Sababu wameaminishwa eti Russia kaanzisha vita kupinga ushoga. It is to why I always say they are mentally retarded.

Hitimisho
1. Dawa ya mtu mjinga/mpumbavu ni kutobishana naye. Akianza kuwashwawashwa mnamchunia au ku mute. Watakuwa wanachungulia na kutoka maana uzi huu wanaupenda sana sababu ni uzi wa facts and evidence based. Siyo propaganda.

2. Kujibishana na pro Russia wajinga/wapumbavu ndani ya uzi huu ni kupoteza muda wako. Ukitaka kubishana nao nenda kwenye uzi wao uliojaa matusi. Hawana hoja ya kushawishi mtu bali wanalazimisha kumshawishi mtu kwa mambo ya propanda.
 
Nyukilia ni nyukilia. NATO alishaweka wazi. Vita ya Nyukilia itapiganiwa MOSCOW sio Kyiv tena. So Mrusi asitishie nyukilia akihisi ndo ana nyukilia peke yake.

Trump alisema kuna nchi zinatishia nyukilia lakini nyukilia yao ilushaexpire
Sawa tuliambiwa pia hypersonic haiwezekani kuwepo nayo juzi juzi imefanya yake
 
Back
Top Bottom