SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Tatizo lako umekula Maharage ya jana!!!!

Israel kwa sasa hivi inadhibiti anga lote la Tehran leo wewe unakuja kuwadanganya Wafuga Midevu na Majini wenzako kuwa israel imelemewa acha ujinga
View attachment 3371539
Mbona makombora ya Iran yanamba anga la Israel kama hakuna nchi vile..
Halafu acha uongo eti jet zinatawala anga, hizo zinapiga stand-off strike, Iran bado ina ADs zipo active, we jidanganye..
 
Hakuna lolote hizo ni kelele za Netanyahu kuwapoza wayahudi sababu wengi wana mlaumu kawaingiza kwenye balaa.

Kama maneno yake ni kweli vipi Missiles zanatua Tela Aviv tena kipigo cha jana kilikuwa ni babkubwa.

Israel hana uwezo wa kucontrol anga ka Iran hizo ni firimbi tu
 
Kumbe nyie magaidi ni waoga kiasi hiki? Kama Leo mnakubali kuwa USA ni hatari akiingia Kati kwanini Iran anaendelea kutanga Kifo Kwa marekani?
 
Mimi Mmatumbi sikuambulia kitu weka kiswahili wote tujue!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…