Mwana Taaluma
JF-Expert Member
- Oct 21, 2019
- 857
- 2,055
Msako acha uendelee..BREAKING | A two-member team of Mossad operatives preparing to launch an attack in Tehran has been arrested.
Huyo hayupo Tel Aviv, jamaa ni muongo sana..F
Fuatilia mbona sahivi wapo mtaani wanazurura zao
Siku Israel inaanza kushambulia rada zote za Iran zilifeli baada ya masaa kadhaa zikarudi. Wachambuzi wanahisi Kurudi haraka ni kwa ushirikiano wa Siri na Pakistan.Nilisha lisema hili Kuna coalition unakuja ya Iran na Pakistani dhidi ya India
Iran na Russia dhidi ya America na EU
Pia coalition mpya na vikundi vya wapigananji ambayo naona sasa vitakua vikiendeshwa ki intelligence zaidi kuliko kijeshi. Japo ata viimaridha sana kizana na mafunzo.
Pia nazani Kuna uwezekano wa wa kui reform counter agency department pamoja na idara ya ujasusi wa kijeshi
Itakua walishakula nauli ya mwamba mara kibao hivyo ayatollaah kujipaka mkongo 😂😂Wa Israel wenzangu tuwaombe msamaha Iran hawa jamaa wanajua kupiga
Pro Iranian x accountsHii source wapi?
Sio kweli juu ya anga la Iran
Kuna clip Nimeshuhudia zaidi ya makombora 8 yanashuka na kupiga majengo mbali mbali ndani ya Israel tena yanashuka kwapamoja bila kuwa interceptedNijuavyo Iran alivyo, atapiga kweli Hospital..
Kwa maana jamaa sasa hivi wapo kwenye mode nyingine kabisa.. sio Iran waliozoeleka..
Kurdish mercenaries in north of Iraq prepares to attack Iran borders with Israeli air force support following a call by their leader to start launching attack on Iran
Israel inawaboost waasi wa Iran na itawapa air coverage
Ukiulizwa maswali we jamaa haujibu.Hadi dakika hii sijaona ushindi wowote wa Iran dhidi ya Israel sema ni vile tu kobazi wanapenda kushangilia milipuko, anachokifanya Iran cha kuangamiza watu na kupiga makombora ovyoovyo hata Israel anakiweza ni vile tu ye anajua kafuata nini na uzuri kilichompeleka kinaendelea tena vizuri na ukiangalia wanaoongoza kulia lia kwa mitandao ni Iran, maana hata netanyahu na viongozi wengine wanasema kazi iendelee haiishi hadi iishe
Kurdish ni waasi wa sehemu tatu,Iran,Iraq na Turkiye.Kurdish mercenaries in north of Iraq prepares to attack Iran borders with Israeli air force support following a call by their leader to start launching attack on Iran
Israel inawaboost waasi wa Iran na itawapa air coverage
Nipo ofisini namalzia kazi ntakujibu baadaeUkiulizwa maswali we jamaa haujibu.
Haifa oil refinery inafanya kazi??
Nevatim airbase iko na hali gani?
IDF HQ iko na hali gani??
Haifa port/ bandari ya Haifa iko na hali gani??
Endelea kusema Iran anajipigia hovyo.
Pia kwanini Israel inazuia upigaji picha wa matukio ndani ya mitaa ya Israel?
Ila we jamaa nahisi ni muha wa kigoma.Nipo ofisini namalzia kazi ntakujibu baadae
Ila kama hayo ndiyo mafanikio ya Iran mna safari bado😁