technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
hiyo chuma imeshuka kibabe sana😹😹jamaa ana bonda, kila kuki kucha ana watumia salamu kama dozi , kama hii una dakaje sasa
View attachment 3371644
Zile shelter wanazoishi wayahudi ni nzuri kuliko makazi ya Wairan ambao wanaishi maisha ya shida kwenye utajiri wa mafuta na gesi kisa viongozi wao kufadhili magaidiKuna kiyoyozi na bado wanajipepea kama wapo ndani ya boiler?
Au viyoyozi vimeharibiwa na mabomu ya Persians?
Saivi atutaki maneno vitendo kwanza kutwa nzima mpo ndani mnaomboleza misiba, halafu vipi Ayatoulah mbona hatoi tamko lolote🙂
Gaza mpya hiyoJune 16, 2025
IDF issues unprecedented evacuation warning for parts of Tehran ahead of strikes
By Emanuel Fabian Follow
Today, 4:50 pm
The IDF issues an unprecedented evacuation warning for a large section of Iran’s capital, Tehran, ahead of Israeli strikes.
Persian-language spokesman, Master Sgt. (res.) Kamal Penhasi.
“In the coming hours, the Israeli army will operate in this area, as it has in recent days throughout Tehran, to strike the Iranian regime’s military infrastructure,” the warning adds.
Bomb shelters make good neighbors
Keep Watching
???? هشدار فوری به کلیه أفراد حاضر در ناحیه مشخص شده نقشه ضمیمه در منطقه ۳ تهران.
⭕️ شهروندان گرامی، بمنظور امنیت شما خواهشمندیم از ناحیه مذکور در منطقه ۳ تهران فورا خارج گردید.
⭕️ طی ساعات آینده ارتش اسرائیل در این ناحیه همچنان که طی روزهای اخیر در محدوده تهران عمل نموده است،… pic.twitter.com/8WkxfGQnKN
— افيخاي ادرعي (@AvichayAdraee) June 16, 2025
In a vague warning after the military issued the evacuation warning, Defense Minister Israel Katz says, “The Iranian propaganda and incitement mouthpiece is on its way to disappearing.”
“Evacuation of nearby residents has begun,” he adds
Tehran kuna kigodoro kinaendelea mlima umeezuliwaKumbe haudhani? Haya subiri andaa ndoo ya kukingia machozi
Iran watanyooka wapi wakati Israelis wanaishi kama Hamas..Safari hii mtanyooka tu irani wamesambaratika kwa kipigo
WareteeeeKurdish mercenaries in north of Iraq prepares to attack Iran borders with Israeli air force support following a call by their leader to start launching attack on Iran
Israel inawaboost waasi wa Iran na itawapa air coverage
Mnautaka au sio!?Saivi atutaki maneno vitendo kwanza kutwa nzima mpo ndani mnaomboleza misiba, halafu vipi Ayatoulah mbona hatoi tamko lolote🙂
Ni video game tu hizoNmeona video kadhaa za IDF ikilipua air defence na malori yaliuobeba makombora huko Iran ni balaa
Wayahudi makelele tu namajivuno, lakini this time, Wairan wamewatia adabu no aibu kweli kweli majigambo yote ya Viongozi na wao hivi sasa wanahaha kama nini!! Roketi za Waajemi zinatua no kulipua popote walipo lenga zinakwepa air defense systems za Wayahudi walizopewa no Merikani na pamoja no marafiki zake wa magharibi mara utasikia wamepewa: eti"Patriot ADS, mara wamepewa eti Sling ADS, mara THAAD, mara Iron Dome.Kwa ndege au drones lakini kutokana na habari itakuwa ndege.
We jamaa kwa kuhamisha magoli hujambo!Zile shelter wanazoishi wayahudi ni nzuri kuliko makazi ya Wairan ambao wanaishi maisha ya shida kwenye utajiri wa mafuta na gesi kisa viongozi wao kufadhili magaidi
Hayo sasa ni maneno ya Mwendawazimu anayepekwa Milembe hospital kulazwa!!!Wayahudi makelele tu namajivuno, lakini this time, Wairan wamewatia adabu no aibu kweli kweli majigambo yote ya Viongozi na wao hivi sasa wanahaha kama nini!! Roketi za Waajemi zinatua no kulipua popote walipo lenga zinakwepa air defense systems za Wayahudi walizopewa no Merikani na pamoja no marafiki Zane mara eti"Patriot,mara sling, THAAD, mara Iron Dome vyote hivyo zimewasaidia nini Wayahudi Hakuna!! Bado roketi za Waajemi zinapiga popote bila kizuizi - hii kitu imewatia aibu jeshi LA Wayahudi pamoja na Merikani, kumbe Air defense systems za Merikani na rafiki zake si lolote si chochote!!! Soko la silaha zao zinazo pigiwa upatu kila siku hivi sasa wanunuzi watakuwa wanajiuliza maswali mengi hasa banda ya kushuhudia dismal performance katika vita hii inayo endelea huko mashariki ya kati. watu watasema mengi kujaribu kuwatetea Wayahundi wanasahau ukatiri no uwenda wazimu wanao wafanyia Wapalestina kupora aridhi yao no kuwafanyia unyama wa kila sampuli, ni mijitu mikatiri sana.
Dah,“Dear citizens, for your safety, we ask you to immediately leave the mentioned area in District 3 of Tehran,” says the IDF
Ni operation maalum inaendeshwa huko.“In the coming hours, the Israeli army will operate in this area, as it has in recent days throughout Tehran, to strike the Iranian regime’s military infrastructure,” the warning adds.
😂 😂 😂 😂 😂 Endelea kuotaN
Ni video game tu hizo