Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,231
- 1,538
Kila siku wanasema hiviIran inajiandaa kuishambulia Israel usiku na wanasema ni shambulio kubwa ambalo Israel hawajawahi kupata tangu kuundwa kwa taifa hilo.
Si zagamui kizembe bwashee 🤔Ukizagamua manzi unapata sh ngapi?
Bangi unayovuta mbaya sana. Kaa chini tulia uone Israel inavyopiga mapumbu tu ya Iran.Sawa Omuchambuzi wa mambo ya kivita kutoka kazuramimba kigoma na updates zako baada ya kupiga ramli
Hio Magen, ni mfumo upo kwenye battle shipsjeshi la maji..😂😂😂😂😂 Kama THAAD imeshindwa hiyo Barak Magen itafanya nini mkuu??
We subiri uone mtanange baadae hapo watazikataa hizo Magen zao.
Licha ya uwezo mkubwa, mifumo hii ya Israel bado ina changamoto dhidi ya mashambulizi ya wingi, teknolojia ya kisasa ya Iran (drones na makombora yanayozunguka rada) Mfano Fatteh-110 na kheibar shaken. hizi missiles ni hatar njia pekee ya kudhibiti ni israel iende kuziharibu hukohuko iran.Israel tayari wameweka mtambo mpya wa ADS uitwao Barak Magen.
Hivyo katika network yake sasa Ina Iron Dome, David Sling (kwa ajili ya rockets), Arrow System ( kwa ajili ya makombora ya masafa marefu ya Iran) ambayo imeshindwa kwa baadhi na sasa Barak Magen
Hata wiki haijafika 😂😂 ushaanza hivi... Swali liko palepale, bado unabisha Israel hakuzipiga nchi za Kiarabu kwa siku sita?Hii vita ni kati ya USA na washirika wake na Iran. Israel hapo ni jina tu ila nyuma ya Israel kuna sapoti kubwa. Iran anajitahidi japo yupo peke yake hana sapoti yeyote.
Ok, ukienda kunywa pombe unapata sh ngapi?Si zagamui kizembe bwashee 🤔
Hahaha tuliwaambia wazee, wanawake na watoto muwatoe kabla vita haijaanza hamkusikia.Sipendi vita kabisa wahanga watoto wazee na wamama...
Mwenzao anapinduliwa yenyewe yapi tuu.Ila viongozi waarabu wa middle east wanatia kichefuchefu wanatakiwa kupinduliwa. Ule unafiki umepitiliza.
Hao viongozi wamewekwa na Israel na US kulinda maslahi yao hawaruhusiwi hata kupinga kwa mdomo achilia mbali kusaidia majirani zao. Dawa yao inachemka lakini
Hapo Israel ndio ingeshamalizwa kabisa. Ukubwa wa jeshi la Iran kwa askari ni wengi mara 100,000 ya Israel. Wakiingia hapo Israel watu wangetandikwa mpaka wapoteane.Bado watu hamuamini Israel hakushinda vita siku 6?
Imagine Iran ingekuwa umbali wa Syria au Iraq
Hizi propaganda tu.Kilichobakia Kwa Sasa ni kunisalimisha Kwa Majeshi ya Iran
View: https://www.instagram.com/p/DK90aqCqJ2k/?igsh=MWtrZmNlOTZkcXU0bQ==
Next time nao wafanye ambush ya Nguvu Kwa kutumia ndege, makombora na drones vinginevyo mwisho umefika.
Hawa waje walipue na manara TV imezidi umbeya😁🤣 🤣 Huyo binti kwenye tv alikuwa anasema haya haya
Viva Israeli Viva Premier Netanyahu.Israeli yashambulia televisheni ya taifa ya Iran baada ya kutoa agizo la wananchi kuondoka Tehran
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alisema awali kuwa Israeli imedhibiti anga ya Tehran, jambo alilolieleza kama “mabadiliko katika kampeni nzima”.
Makombora ya Israeli yamepiga kituo cha televisheni ya taifa ya Iran kilichopo Tehran, baada ya Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) kutoa agizo kwa raia kuondoka katika eneo fulani la mji mkuu huo.
Shambulizi hilo lilisitisha kwa muda matangazo ya moja kwa moja, huku mtangazaji akiondoka ghafla wakati studio ilipojaa moshi.
Shambulizi hilo lilitokea muda mfupi baada ya IDF kuitaka jamii kuondoka katika maeneo ya Wilaya ya Tatu ya Tehran, ambako ndiko studio hiyo ya televisheni ilipo.
“Katika saa chache zijazo, jeshi la Israeli litafanya mashambulizi katika eneo hili dhidi ya miundombinu ya kijeshi ya utawala wa Iran... uwepo wenu katika eneo hili unaweka maisha yenu hatarini,” IDF ilichapisha kwenye X.
Netanyahu aliongeza kuwa Israeli iko “katika njia ya” kuangamiza mpango wa nyuklia wa Iran na uwezo wake wa makombora ya masafa marefu.
Wakati mzozo kati ya mataifa haya mawili ya kikanda ukizidi kupamba moto, waokoaji wa Israeli walisema watu wanane wameuawa kufuatia mashambulizi ya makombora ya Iran kwenye miji ya Israeli, na kufanya idadi ya waliouawa tangu Ijumaa kufikia 23.
Mamlaka za Iran zilisema jioni ya Jumapili kuwa raia 224 wameuawa kutokana na mashambulizi ya Israeli, pamoja na maafisa 17 wa juu wa kijeshi.
Mashambulizi haya ya hivi karibuni yametokea wakati viongozi wa kimataifa wakiwasili nchini Canada kwa ajili ya...