SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Israel kupiga hospital ni target ya maana, kupiga mfumo wa maji taka ni target ya maana, kupiga kituo cha Luninga ni target ya maana. Iran ikishambulia Haifa refinery imeshambulia haijapata target, kupiga nevatim base haijapata target.

Wote hawa walikadiriana vibaya hawakutegemea mashambulizi ya kutoka upande wa pili. Hii vita kama haitoingiliwa na wakubwa basi bado ipo
Hata huo uwezo wa makombora Hana kiviiile! Unarushaje makombora ovyo namna Ile hupigi target za maana! Unavunja majengo ya raia stupidi
 

Uharibifu unaotokea Israel, hawakutegemea, toka mwaka 1973 , Israel hawajashuhudia kipigo kama hiki, hao vijana wengi jeshini na vyombo vya usalama katika ukuaji wao hawakuwahi kuona nchi yao ikipigwa kwa makombora mazito na yenye nguvu kiasi hiki...
Waliaminishwa kwamba Israel ndio mbabe, na vi hadithi vya uongo na kweli vya six days war.. operation Entebbe n.k

Sasa wameanza kuona vita halisi ina utamu kiasi gani hasa ikitokea kwenye ardhi yako.. mi niwaambie tu hawa Gen Z wa IDF, nyie sio jeshi bora ni kwa sababu watu waliwaheshimu tu na kupenda amani, sio wanawaogopa..

Israel ipo surprised, nani humu alitegemea Israel itapigwa kiasi hiki? nani humu alitegemea makombora yatakua yanatua Tel Aviv na kuiharibu mitaa?

Pro Israel wengi humu walikuwa wana msemo wao "Iran irushe hata kokoto tu waone moto wa Israel"..

Sasa hivi wapo humu tukilumbana nao wanasema "Iran imeua raia 20, makombora meeengi inaua raia 20 tu" 😂 😂 😂 ..

Jamani, Mwanzoni si tulikubaliana kwamba Iran ikirusha kokoto 🤣🤣 basi ndio mwisho wake..

Taratibu tu mtalipata somo, twendeni taratibu muda ni mwalimu mzuri.
 
Mbona hiyo ni day one shambuulio la Iran, sasa mrejesho ndyo unaousikia wiki hii IDF wanaishi anga ya Iran na kuchagua targets as they wish, Ayatollah amekimbilia mapangoni na wananchi wa Tehran wanshangilia ukombozi wa IDF
 
Hii tabia ya aina fulani ya watu kuamini eti wao ni bora kuliko wengine ndio chanzo cha haya yote, huku wenzetu wakijipanga kumudu jeuri na dhihaka ya huyu m- Israel nasi tujuandae kwa m- Israel mweusi (Tutsi empire) ambae anaamini ukanda huu mzima ni mali yake na ana haki ya kuongoza na huku wengine wakibakia kuwa watumwa wa jamii zote za kinyarwanda… ama hakika ubaguzi ni kitu kibaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…