100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Dah!! Israel inatetemeka..DUUUUH HII TEKNOLOJIA SIO YA KAWAIDA HII HATA USA HANA kitu kina speed kuliko mwanga na sautiπ±π±π±π±π²π²π²π²π²
View: https://x.com/IranObserver0/status/1934000529027600444?t=VUkPm2hbcLLno5OQCT4syw&s=19
Unatokea pori gani ?Una uhakika USA hana kombora linalomove haraka zaidi ya sauti na wakati yeye ndio anashikilia rekodi
Inaonekana kuna mivutano ya ndani, nadhani kuna ambao hawakupenda idea ya Nyau kuanza kuishambulia Iran, Neta ni mbishi sana, sasa ngoja apate anachokitaka..
Wala sijakataa but sometimes mahaba hufanya Mtu kua kipofu mama hatuongelea Shelli (gas station β½) ya mtaani ya tank moja tunaongelea kituo kikuu cha kusambaza mafutaNimeona hiyo zaidi ya nzima iliyopita,hilo ni tukio la masaa mawili yaliyopita,tumia threads,x, telegram kufatilia habari instantly
Kuna taarifa huko inasema Trump kawataka wote Israel na Iran wasitishe vita.Inaonekana kuna mivutano ya ndani, nadhani kuna ambao hawakupenda idea ya Nyau kuanza kuishambulia Iran, Neta ni mbishi sana, sasa ngoja apate anachokitaka..
Ya muda hii,ina saa tatu kama so nne,na Iran wamesema bado hawajamaliza(kwa sauti ya Ahmed Ali)Kuna taarifa huko inasema Trump kawataka wote Israel na Iran wasitishe vita.
Huyu Mzee jana kaongea taarifa nyengine na leo anaongea nyengine.
Trump akili hana, aifikiri hili suala ni mikwara kwamba anawatisha Iran.. Iran ihakikishe kwa gharama yeyote ile Israel inachakaa, waiharibu vibaya iwe fundisho, apigwe haswa kwa gharama yeyote ile, huyu ms3nge kaharibu mashariki ya kati yote kwa tamaa za kipuuzi sana... sasa kagusa pabaya..Kuna taarifa huko inasema Trump kawataka wote Israel na Iran wasitishe vita.
Huyu Mzee jana kaongea taarifa nyengine na leo anaongea nyengine.
Nani kasema matanki ya sheli!?..yale matanki ya houthi pale hudeida ni ya sheli?Wala sijakataa but sometimes mahaba hufanya Mtu kua kipofu mama hatuongelea Shelli (gas station β½) ya mtaani ya tank moja tunaongelea kituo kikuu cha kusambaza mafuta
Iran wamesema ngoma badoTrump akili hana, aifikiri hili suala ni mikwara kwamba anawatisha Iran.. Iran ihakikishe kwa gharama yeyote ile Israel inachakaa, waiharibu vibaya iwe fundisho, apigwe haswa kwa gharama yeyote ile, huyu ms3nge kaharibu mashariki ya kati yote kwa tamaa za kipuuzi sana... sasa kagusa pabaya..
Iran itumie huu mwanya kuhakikisha Israel inakuwa Gaza ..Iran wamesema ngoma bado
Duh!Ya muda hii,ina saa tatu kama so nne,na Iran wamesema bado hawajamaliza(kwa sauti ya Ahmed Ali)
I think kitu ambacho wengi hawajapenda ni Netanyahu kuendeleza mashambulizi LeoInaonekana kuna mivutano ya ndani, nadhani kuna ambao hawakupenda idea ya Nyau kuanza kuishambulia Iran, Neta ni mbishi sana, sasa ngoja apate anachokitaka..
Iran imeshatoa tamko punde tu, wamesema operation yao inaendelea wala haijasimama.Trump akili hana, aifikiri hili suala ni mikwara kwamba anawatisha Iran.. Iran ihakikishe kwa gharama yeyote ile Israel inachakaa, waiharibu vibaya iwe fundisho, apigwe haswa kwa gharama yeyote ile, huyu ms3nge kaharibu mashariki ya kati yote kwa tamaa za kipuuzi sana... sasa kagusa pabaya..
Kama US anataka atoke middle east aingie..Wamempigia magoti baba yao aje awasaidie!
Pussies!!!
View: https://x.com/Megatron_ron/status/1934014804706140283