Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Hahahaha habari ambayo hakuna BBC,Aljazeera wala CNN?Hizo hapa Missiles za leo zimeshuka kama mvua kuna jamaa ka records
View: https://youtu.be/CthX4uKd6II?si=1LbgAeZShszn0wWQ
Huoni Trump kachanganyikiwa anajua Israel kisha zidiwa
Hahahaha muqwaiaThe explosions in Tel Aviv are extremely massive and are causing strong vibrations.
Report of casualties
Hao waache wajiliwazeSio kweli alert lazima ziwepo kabla hata haijagusa ardhi ya Israel. Pili naomba link ulipoyoa hiyo habari na hiyo picha nijiridhishe maana mimi muda wote nipo kwenye media na pages za pro Iran hazijaweka hiko kitu
Sijasema hakuna alerts nimesema early alerts, alerts ukizipata dk 2 kabla haziwezi kukusaidia kitu. Mimi taarifa nyingi nasaka telegram nyingine ni non official nina ndg zangu Lebanon kupitia wasap wananitumia hivyo taarifa za mazayuni kitegemea .media utalishwa matango mengi Leo Kuna taarifa wamesema gereza watu wametoroka hao ni Mossad si kweli, tafuta telegram utapita tu taarifa angalau hasa magrup ya kuchat maana unachat na real peopleSio kweli alert lazima ziwepo kabla hata haijagusa ardhi ya Israel. Pili naomba link ulipoyoa hiyo habari na hiyo picha nijiridhishe maana mimi muda wote nipo kwenye media na pages za pro Iran hazijaweka hiko kitu
MBS anakusalimiaHizo hapa Missiles za leo zimeshuka kama mvua kuna jamaa ka records
View: https://youtu.be/CthX4uKd6II?si=1LbgAeZShszn0wWQ
Huoni Trump kachanganyikiwa anajua Israel kisha zidiwa
View: https://youtu.be/dOnjoEQPfaU?si=HtaRD5LIcvhppl_z
Acha maneno mengi weka picha na video hapaSijasema hakuna alerts nimesema early alerts, alerts ukizipata dk 2 kabla haziwezi kukusaidia kitu. Mimi taarifa nyingi nasaka telegram nyingine ni non official nina ndg zangu Lebanon kupitia wasap wananitumia hivyo taarifa za mazayuni kitegemea .media utalishwa matango mengi Leo Kuna taarifa wamesema gereza watu wametoroka hao ni Mossad si kweli, tafuta telegram utapita tu taarifa angalau hasa magrup ya kuchat maana unachat na real people
Tujadili vita. Mambo ya kanisa au msikiti hayana maana katika mgogoro huu.
View: https://youtu.be/fNs8vGxkh84?si=CtpryfMiew_xbYkl
Channel hi inasema leo Iran kashambulia kuliko siku zote afu wakanisa wanasema Iran wameishiwa Missiles hahaha kweli ukanisa ni ukenge tu
Sawa wajukuu wa PauloTujadili vita. Mambo ya kanisa au msikiti hayana maana katika mgogoro huu.
Wapo waislam kibao wanasapoti Israel na wapo wakristu wengi wanasapoti Iran. Achukia sana udini kwenye hii vita
Hiyo taarifa ni ya muda mrefuChannel 14 ya Israel ndege za USA zimepiga Iran. Afu USA wanajidai kukanusha eti waongo hahaha
Vipi huyu MBS waliokamisiwa Makha na Madina ni mtu wa kanisa nae?Channel 14 ya Israel ndege za USA zimepiga Iran. Afu USA wanajidai kukanusha eti waongo hahaha
Hii ni kweli kabisa na raia washapewa tangazo waende protected areas#BREAKING 🇮🇷❌🇮🇱 — Iran launches ballistic missiles towards Israel.
Leo hio tena kwenye Al Jazeera breaking newsHiyo taarifa ni ya muda mrefu
Hufurahi kwamba ile sababu aliyokuwa anaitafuta Iran ya kusambaratisha kambi za Marekani middle east imepatikana?Channel 14 ya Israel ndege za USA zimepiga Iran. Afu USA wanajidai kukanusha eti waongo hahaha
Hiyo taarifa waliitoa muda mrefu tu, yamepita masaa kama matatu, Wala sio breaking news, hata humu niliiletaLeo hio tena kwenye Al Jazeera breaking news