Siiwezi jua inaweza kua kweli pia maana ndio technology hio na US na Wazungu wako pale you know. Lakini kingine mbona Hata namba ya missile inayokuja nayo ni kidogo mno yaàni Kama missile 5 au 6 tu Tena zile cruise missiles sio ballistic Sana Sana je na wao Kuna kitu wanakitafuta?Lakini mkuu tukubali Leo missiles za Iran zimefeli. Jana juzi na siku ya kwanza zilikua successful. Kukubali ukweli sio udhaifu
Hiyo kuchezewa wala si kweli
Sasa kama anajiweza yanini kulialia?Mpaa mda hahitaji msada tofouti na shoga wenu.
Naona akili zinaanza kuwarudia taratibu na kuchambua kwa facts badala ya hisia na mihemko ya kidini.Siiwezi jua inaweza kua kweli pia maana ndio technology hio na US na Wazungu wako pale you know. Lakini kingine mbona Hata namba ya missile inayokuja nayo ni kidogo mno yaàni Kama missile 5 au 6 tu Tena zile cruise missiles sio ballistic Sana Sana je na wao Kuna kitu wanakitafuta?
Twitter hahahaLazima leo kuna tatizo kwa Iran, nguvu ya kurusha missiles imepungua sana na zote zimefeli. May be kesho watakuna na solution
View: https://x.com/spectatorindex/status/1934789708779016640?t=M2FOwxbIvQrGhyAT9URLFg&s=19
Ni either missiles zimepungua au wamekua defeated huko huko Iran, au wanatunza zilizobaki ili waje wazitumie siku zijazoSiiwezi jua inaweza kua kweli pia maana ndio technology hio na US na Wazungu wako pale you know. Lakini kingine mbona Hata namba ya missile inayokuja nayo ni kidogo mno yaàni Kama missile 5 au 6 tu Tena zile cruise missiles sio ballistic Sana Sana je na wao Kuna kitu wanakitafuta?
Iran mpaka hapa kashasanda,aombe poo tuu.Cruise missiles again, a very small number.
The Army is trying stuff out.
Labda kuna kitu hakipo sawa, hii ya Leo sio bure laziama Kuna tatizo ndani huko Iran au wanajipanga kesho waje kwa nguvu zaidi. Ngoja tusubiriNaona akili zinaanza kuwarudia taratibu na kuchambua kwa facts badala ya hisia na mihemko ya kidini.
Nilishasema hapa kuwa Marekani ilitoa report kuwa Iran ndio nchi yenye ballistic missile nyingi middle east kuliko nchi yoyote ile,ilikadiriwa kuwa wanazo kati ya 2k mpaka 3k. Sasa piga hesabu walizorusha tangu juzi plus sabotage kubwa waliyofanyiwa kabla na baada ya hii vita.Siiwezi jua inaweza kua kweli pia maana ndio technology hio na US na Wazungu wako pale you know. Lakini kingine mbona Hata namba ya missile inayokuja nayo ni kidogo mno yaàni Kama missile 5 au 6 tu Tena zile cruise missiles sio ballistic Sana Sana je na wao Kuna kitu wanakitafuta?
Halijatoka tangazo lakini au hii ni update ya muda ule? Naangalia hapa sioni raia wakiambiwa waingia protected areasCruise missiles again, a very small number.
The Army is trying stuff out.
Tunataka kuona missile za usiku wa leo na madhara yakePilot wa F35 wa kike atatokea akihojiwa wapi wanapo tokea kushambulia na wapi wana refuel kaeni mkao wa kula.
Kumbe hizo ndege hazitokei Israel ni propoganda
Oteni tuHizi dalili sio nzuri kabisa.
Ina maana Iran ndio inakwenda kuanguka?
Weka maelezo yako vema ili tukuelewe. Una hoja lkn maelezo hayajaelewekaPilot wa F35 wa kike atatokea akihojiwa wapi wanapo tokea kushambulia na wapi wana refuel kaeni mkao wa kula.
Kumbe hizo ndege hazitokei Israel ni propoganda
Tushatoka Ukraine vs Russia now tupo Iran vs IsraelIran imeanza mashambulizi makubwa ya makombora dhidi ya Israel, ambayo yamelenga miji mikuu ikiwemo Haifa na Tel Aviv. Viwanda vya mafuta na kemikali, kama Bazan Group, vimeharibiwa vibaya huku moto mkubwa ukiripotiwa.
Wimbi la pili la makombora limeanza kutua, na majengo kadhaa mjini Tel Aviv yamepigwa, watu 15 wakijeruhiwa. Taarifa za vifo pia zimeanza kuripotiwa kutoka maeneo mbalimbali ya Israel.
Pakistan imetangaza kuwa itaishambulia Israel kwa nyuklia endapo Iran itashambuliwa kwa silaha hizo, na iko tayari kuingia vitani upande wa Iran iwapo mataifa ya Magharibi yataingilia moja kwa moja.
Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Israel (Shin Bet) ameripotiwa kujiuzulu kufuatia hali hiyo ya taharuki.
UPDATE:Mpaka muda huu miji yote ya Israel imeshambuliwa na Iran na taarifa za vifo huko Israel zimeanza kutoka.
Hali ni mbaya kwa upande wa Israel it seems wamezidiwa
IDF wanaranda randa Iran kama vile wako Tel AvivHizi dalili sio nzuri kabisa.
Ina maana Iran ndio inakwenda kuanguka?