SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ila Sasa pressure anayoipeleka Kwa USA aingie mzima mzima Iran watapona kweli?

View: https://www.instagram.com/reel/DK-WUgjyzpZ/?igsh=MW41aTIwcDY0NXMxZg==
 
Mpaka sasa Israel 3 vs Iran 0 dakika ya 40.
FRANK umekuwa Shabiki maandazi umekuwa kama usiempenda Amza kasongo esabu yako umeipataje wkt ISRAEL imekuwa GAZA!!!

waliokufa ni wengi sana kuliko wa Iran tatizo uwongo wa Israel lkn kilio chao tumewaelewa ndiomana wanataka Babake Marekani atimbe !!!!

lkn nayeye Marekani kila Wakitathimin zile Hypersonic missile, ndugu wanasema apana tutafute Aman na Iran !!!

F-35 soko kwishaaa bado nini tena Wairan wafanye kuonesha wao ndio kipimo cha Technology
 
"I know the outcome; Iran isn't Russia, North Korea, or China. The fact that they've survived for over 20 years under heavy and intriguing restrictions and sanctions doesn't mean they're able to stand directly against the USA in a war. It's obvious Israel will win. It's also clear that Al-Masih ad-Dajjal and its forces will prevail. To non-Muslims, this was predicted and is forthcoming, as written. Israel will conquer most Muslim nations under the watch of its subordinates across the Middle East. Most nations will fall, including the former Persian Empire. This will come to an end only when all Muslims worldwide unite and become one in action and voice. Until then, it hurts, but prepare to see what happened to Palestine happening to Persians."
 
Vikao vimeanza wameona wakizubaa mtu anafutwa kweli
*****
πŸ‡ΊπŸ‡Έ β€” Secretary of State Marco Rubio will be joining Donald Trump at the White House.
Kuanzia juzi Iran kupitia Jordan na Cyprus wanaomba mazungumzo. Aidha, wamesema wako tayari kwa mazungumzo ya nuclear na pia Israel akiacha kushambulia nao wanaacha.
 
Ila Sasa pressure anayoipeleka Kwa USA aingie mzima mzima Iran watapona kweli?

View: https://www.instagram.com/reel/DK-WUgjyzpZ/?igsh=MW41aTIwcDY0NXMxZg==

Mbele ya USA hilo liko wazi, Iran hawezi kusurvive, anaweza kuleta upinzani wa hapa na pale lakini atapasuka vibaya.

Inawezekana pia vita ikachukua muda mrefu kama itafanyika ground invasion, na gharama inaweza kuwa kubwa sana kwa USA na Iran itaharibiwa vibaya kama ilivyokuwa Iraq.

Palestina hali itakuwa mbaya sana kwao maana mtetezi wao mkubwa atakuwa kikangooni.

Nilichojifunza, Russia na China wananguvu yakujilinda wenyewe na hawana nguvu yeyote yenye influence kwa allies wao.
 
Wakianza ground basi hapo Nchi itqharibika kabisa aisee.

Njia ya mwisho ya Iran kujikomboa ni kurusha makombora Yao ya mwisho hovyo na popote Ili liwalo na liwe maana watakuwa wamepoteza Utawala

View: https://www.instagram.com/p/DK-0kzFoxx9/?igsh=empzNWhxaGowOG9h
 
Iran wakikubali hayo masharti ya USA, Iran watakua wajinga. Lakini pia Iran inapaswa kutumia huu muda kuipiga na kuifuta kabisa Israel, huu ndio muda sahihi kwao
Wakikubali kukaa mezani utakua unyonge mkubwa
Unafutaje taifa lenye nuclear ambalo likiamua dk 2 linachoma nchi nzima? Huu ni muda sahihi kwa Israel kuibomoa Iran kwa kuwa mshirika wake mkubwa (Urusi) nae katingwa.
 
Mama Iran analawitiwa mama Iran keshabebeshwa mimba ya mimapacha, dah mama Iran anajuuuuta kumchokoza yahuuuuud

mashoga mavi hayazuiiliki tena


Your browser is not able to display this video.
 
Bro Tehran ndio watu wanakimbilia mji maana hawana sehem za mahandaki foleni ya kukimbia mji imekua kubwa mnoo
Bro hivi unajua Pop ya Iran vis Israel Israel kuna mahandaki ya Serikali lakn pia Kila nyumba ina handaki chini kwakuwa wao wapo wachache ni rahisi wote kuingia Iran wapo abave 90M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…