Watu kama awa waoga sana lkn wakipata Nafasi ya kupiga wengine awana hUruma kabisa !!!
Watu wanajifaliji kinouma humu ndaniHao waache wajiliwaze
Anaokota mavideo tu huko na kupost hapa.Mbona hii video ya tangu juzi
Mwaka wa kumi nimejichimbia 'maktaba' nafanya utafifi kama kuna "ELIMU" flani ambayo mayaudi wameificha kwa Watu wengine! Iran na mizigo yote ya siraha nzito kaanza kukata pumzi!
Hawawezi kuja Tanzania kuidhibiti CCM?Kutoka katika chapisho la mtandao wa X, waziri mkuu wa Israel anasema kuwa Israel imefanikiwa kulidhibiti anga la Iran... na sasa ndege za kivita za Israel zinaweza kuingia na kushambulia katika anga la Iran bila shida yoyote.
View attachment 3372414
Miccm mitekaji ije iabishwe mchana kweupeSasa hawa waafrka si wanatuma tu sniper 5 kaz kwisha
Tupe source?Iran kaomba sizifaya (ceasefire) na kurudi meza ya mazungumzo.
Hili ni jambo la busara zaidi ila naliona kama vile kwa ilipofikia Israel ataona kwenda kwenye mazungumzo ni kupoteza muda na fursa ya kupata sulihisho la kudumu kwa tishio lake kuu mashariki ya kati. Akiiondoa utawala wa Iran ameua makundi yote ya anaowaita magaidi kwake
Hata mm nawaza kama wewe...kuna elimu ambayo wao wanayo na hawajaitoa kwa dunia, share ulipofikiaMwaka wa kumi nimejichimbia 'maktaba' nafanya utafifi kama kuna "ELIMU" flani ambayo mayaudi wameificha kwa Watu wengine! Iran na mizigo yote ya siraha nzito kaanza kukata pumzi!
😂😂😂😂Acha maneno mengi weka picha na video hapa
Ukishaponda kichwa cha octopus hata mikia yake hufa pia.Iran kaomba sizifaya (ceasefire) na kurudi meza ya mazungumzo.
Hili ni jambo la busara zaidi ila naliona kama vile kwa ilipofikia Israel ataona kwenda kwenye mazungumzo ni kupoteza muda na fursa ya kupata sulihisho la kudumu kwa tishio lake kuu mashariki ya kati. Akiiondoa utawala wa Iran ameua makundi yote ya anaowaita magaidi kwake
Na ikikamata huyo nyanya imepeleke gereza moja na pdiddyMiccm mitekaji ije iabishwe mchana kweupe
Africa watatuma message 'whatsapp' tu....'au tusitishe misaada?'Sasa hawa waafrka si wanatuma tu sniper 5 kaz kwisha