SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kuna Satelite constellation 5 kubwa Duniani.
-GPS ya Mmarekani
-Glonas ya Mrusi
-Galileo Ulaya
-Beidou Mchina
-Qzss ya Japan

So west hamiliki satelite zote, zote hapo juu ni superior na wanaweza jitegemea.

UNAFKIRI sasa hivi Muiran anatumia GPS? Si wangemzimia tu akioiga makombora yakadondokee Baharini huko.

Pia wengi wana under estimate Air superiority ya Mrusi, mpaka kesho kufika anga za mbali Rocket nyingi za Usa zinategemea Mrusi.
 
Iran hana ndege za kivita na ukweli ashalemazwa na sahivi tunadili missiles zake atasurrunder tu, sahivi ashaanza kurusha missiles 10 zamani alikuwa anarusha 100 kwa siku
Hili suala la kusema Iran Hana ndege ya kivita tulikurekebisha mkuu ila we jamaa ni muha.
Iran ndege anazo ila Hana access ya anga kutoka kwake kwenda Israel.
 
Mkuu acha ubishi.
Hizbollah alipouliwa viongozi wake hakuishia kukaa kimya alipambana na alipoanza kutumia long range missiles na kupiga hadi Tel Aviv France na USA walienda Beirut kuwataka Lebanon wawashurutishe Hizbollah.
ACHA UBISHI.
 
Israel’s Defense Minister:

Today we are going to target very significant targets in Tehran. The IDF will notify residents to evacuate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…