SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Eti eeh!! Hii ulituma jana. Sasa hebu tupe updates tujue yanayoendelea huko
 
Hapo ndo utajua umuhimu wakubwa na uwezo wa juu wa kivita wa Anga...
Vita hivi vinaonesha kuwa hakuna wakumuweza Muisrael kwa vita vya anga, si Iran wala nani mpaka Russia atakalishwa...

Nimemaliza, povu ruksa
Russia hapigani na Ukraine, anapigana na mataifa 30+ ya NATO! Huo mziki hata USA mwenyewe hawezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…