SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Cencorship na Youtube&google alogarithm imekuwa kubwa kuminya taarifa.
Nilisema mwanzoni hii vita itakuwa na information ambazo ziko very biased. Maana kuna upande unamiliki asilimia kubwa ya vyanzo vya habari na taarifa
Kuhusu suala la taarifa kila upande unaficha hata Iran kutwa nzima Israel anashambulia lakini hawatoi taarifa zozote, na kule vyombo kama BBC washapigwa marufuku, chombo tungetegemea ni Al Jazeera ila naye ameegemea upande wa Iran
Sasa hivi kama unataka taarifa zote nenda front we unataka taarifa zikukute kitandani🙂
Hata kwa urusi na Ukraine hata wao taarifa zao huwa ni vivyo hivyo ndio maana hadi saivi hata idadi ya wanajeshi waliofariki haijulikani ikitajwa ni uongo hadi we utasema hapa tumepigwa.
Anyway Tupe location ya ayatolah
 
Defense Minister Israel Katz:

There are more than 10 nuclear targets in the Tehran area itself. We are on the verge of destroying these sites.
 
Masih Ad- Dajjal is Allah(god of Muhammad) in disguise. He who reads knows.
 
Hapo ndo utajua umuhimu wakubwa na uwezo wa juu wa kivita wa Anga...
Vita hivi vinaonesha kuwa hakuna wakumuweza Muisrael kwa vita vya anga, si Iran wala nani mpaka Russia atakalishwa...

Nimemaliza, povu ruksa
Nani alikuambia Russia alitaka kumiliki anga, ili iweje ili hali akiamua kupiga anadunda tuu atakavyo? Kila mtu ja stratergies zake sio lazima midege all the time unarisk maisha ya pilots bure tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…