SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Anapigana na Iran. Tena kwa kushirikiana na NATO.
Wakati anamchokoza hakujua kuwa ana ushirika na hao NATO? Mbona Iran imekuwa na amani kwa miaka mingi sana wakati ikifadhili na kufundisha makundi ya kumpiga Israel ndani kutokea ndaninya nchi zinazopakana na I Israel?

Haukuona Israel kwa miaka mingi anavyohangaika na makombora mara ya Hamas mara Hezbollah huku wananchi wa Israel wakikimbizana kwenye bunkers, wakati Iran wanatafuna tambuu, na kula kashata huku wavivuta shisha na kushushia Kahawa?

Vita ni pamoja na washirika ndiyo maana vurugu zote za Hezbollah na Hamas sifa na utukufu vilienda kwa Iran hadi watu wakasema Israel kama anaj8fan6a anaweza ajaribu kurusha hata jiwe tu pale Tehran.

Au umeanza kuifuatilia hii vita wiki iliyopita?
 
Unampa vitu ambavyo hataki kuviona mbele zaidi ya urefu wa pua yake.
 
Sawa, comment yako inasadifu uwezo wako wa kufikiri
 
aaa wapi. Israel ndio imepigika mpaka Trump kaahirisha kikao cha G7 si mchezo
Bila misaada ya west Israel ni zero kabisa
Kama wakuu wa nchi wana liwa kichwa kila leo sembuse majengo. Hao kobaz wao wanarusha tu popote litakapoangukia ni sawa kwao
 
Tufafanulie vizuri hayo madini Mkuu.
 
Ndio maana Wairan hawampendi Ayatoulah yaani kipindi kama hiki kiongozi unajificha shimoni uanaacha nchi mlango wazi
Regime must fall✌️
Netanyahu si alikimbia kabisa na nchi

sasa mzee kama yule Ayatollah ata mkimuua atawasaidia!!!

aijawasaidia kufa kwa Wakuu wa MAJESH wenye Umuimu sana bado miji ya Israel imegeuka Gaza!!!

ije kwa Babu kama yulee, mnataka laana tu.
 
Mimi namshangaa sana mtu anyesali kwenye dini ambayo haijawahi kujenga chuo,hospitali au shule nchini mwake. Dini ambayo mpaka leo kwenye chimbuko lao kuna watumwa.
 
Cencorship na Youtube&google alogarithm imekuwa kubwa kuminya taarifa.
Nilisema mwanzoni hii vita itakuwa na information ambazo ziko very biased. Maana kuna upande unamiliki asilimia kubwa ya vyanzo vya habari na taarifa
Kama hutumii Telegram anza kutumia sasa hivi, Telegram unapata picha na video directly toka sehemu husika, follow reliable chanel za nchi husika. Huku YouTube, Twitter, FB, insta, Tiktok etc full propaganda.
 
Hapo kwenye nyekundu ni Nchi zinazoweza kufikiwa na mabomu ya nyuklia ya Israel
View attachment 3373215
Sawa kumbe yeye Anayo afu ataki wenzie pia wawe nayo sasa kiburi chake kimepelekea ajenge upya Miji yake !!!

IRAN kamwe awezi kukosa ndiomana Viongozi wake usema Wataifuta Israel kwenye uso wa Dunia.!!!

Kumbuka pia Nuclear Israel kapewa na Marekani !!

ivyo Ushwaiba wa North Korea na Iran unajuaje kama awajaficha uko Iran Nuclear!!!

Kumbuka pia Iran inajua Israel inavichwa 90 vya Nuclear !!!

lkn tazama tena miji yote ya Israel ilivyopigwa !!!

kisha jiulize Iran inajiamini nini kumpiga mwenye Nuclear kipigo cha mwana Ukome..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…