Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
President Trump is currently in the White House Situation Room monitoring the strikes in Iran.
Tufafanulie vizuri hayo madini Mkuu.
Raia.wakishaondoka vyuma vinaenda shuka hapo ata gaza itakuwa afadhali, mafundi ujenzi toka Tandale na Magomeni mapipa muanze chukua tenda
lete ushahidi hiyo NATO inavyopigana na RussiaRussia hapigani na Ukraine, anapigana na mataifa 30+ ya NATO! Huo mziki hata USA mwenyewe hawezi.
Hakuna mwenye povu tunakuelimisha tu.Hapo ndo utajua umuhimu wakubwa na uwezo wa juu wa kivita wa Anga...
Vita hivi vinaonesha kuwa hakuna wakumuweza Muisrael kwa vita vya anga, si Iran wala nani mpaka Russia atakalishwa...
Nimemaliza, povu ruksa
😛umejuaje?Sikushangai, naamini ni wale wale wenye makao yao makuu Tel Aviv.
Hii mada inaufira ubongo wako hutaiwezalete ushahidi hiyo NATO inavyopigana na Russia
Humu wengi ni wajinga na wakurupukaji angejiuliza swali dogo Iran inatuma makombora kwenda israel ikiwa wapi?Hakuna mwenye povu tunakuelimisha tu.
Iran imedungua ndege tatu za Israel pia leo asubuhi imedungua drone ukanda wa Natanz.
Sasa huko kumiliki anga kupi unakuzungumzia wewe??
Iran bado inarusha makombora kwenda Israel.
Sasa kumilika anga kupi unakuzungumzia wewe!?
Inaonekana huna unachojua bro.
Lazima ataingia kama ameamua kuacha mambo mengine yote kwa ajili ya hii issueVipi USA ameingia rasmi kilingeni?...
U.S. President Donald Trump is leaving the Group of Seven summit in Canada a day early due to the situation in the Middle East, the White House said on Monday.
The G7 has struggled to find unity over conflicts in Ukraine and between Israel and Iran as Trump overtly expressed support for Russian President Vladimir Putin and has imposed tariffs on many of the allies present.
And no more generals
Anga ni kila kitu