gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Kila siku no impact, baadae mnakamata wanaopost na kufungia mitandao,mara hq zinawaka motoMifumo ya kimarekani THAAD imetumika kuzuia makombora 10 kutoka Iran muda mchache uliopita. No impacts and no casualties, raia wameambiwa warudi mtaani
View: https://x.com/WarMonitors/status/1934981491965968492?t=joQMiK8G6Q3txBeuOLMRIA&s=19
Israel haiwezi kufuztwa kwa sababu uislamu na uarabu una matabaka nilionyesha huko nyuma nchi za kiarabu zikiungana zinaweza kuipiga israel lakini hawawezi kiuungana kamwe. Hata wewe hao na uislamu wako nirahisi kuoa mzungu kuliko mwarabu ishu ni matabaka waliyonayo waislamu na waarabu.Sawa kumbe yeye Anayo afu ataki wenzie pia wawe nayo sasa kiburi chake kimepelekea ajenge upya Miji yake !!!
IRAN kamwe awezi kukosa ndiomana Viongozi wake usema Wataifuta Israel kwenye uso wa Dunia.!!!
Kumbuka pia Nuclear Israel kapewa na Marekani !!
ivyo Ushwaiba wa North Korea na Iran unajuaje kama awajaficha uko Iran Nuclear!!!
Kumbuka pia Iran inajua Israel inavichwa 90 vya Nuclear !!!
lkn tazama tena miji yote ya Israel ilivyopigwa !!!
kisha jiulize Iran inajiamini nini kumpiga mwenye Nuclear kipigo cha mwana Ukome..!!!
Daud na GoliatiSize of Israel vs Iran and the areas in Iran targeted
View attachment 3373314
Daudi na silaha na intelijensia ya marekaniDaud na Goliati
Waingie sasa tuone,,brics nao wako mguu sawa mjue.German Chancellor Friedrich Merz:
If Iran does not withdraw, the complete destruction of its nuclear program will be on the agenda, and this is something that Israel is unable to do alone.
Mmehamia kwenye ugaidiMuda mchache uliopita Kuna shambulizi ndani ya Tehran kwa kutumia gari limetokea, Kuna assassination imefanyika au ilikua targeted lakini haikufanikiwa
View: https://x.com/MOSSADil/status/1934982341887476133?t=m9i4WFBxq0JQkndupM0bsw&s=19
Unaweza shangaa hata Ayatolah mwenyewe yahudi😎Raia wa Iran wanahisi Raisi mstaafu wa Iran Mahomoud Ahmednejad anashirikiana na Israel kwa Siri. Wanahisi pia huenda ni myahudi
View: https://x.com/NiohBerg/status/1934959801710063674?t=VFPDMnHl2PV8DMJl6pEHdw&s=19
Mashambulizi haya ni ya lisaa limoja lilipita, yapo mashambulizi mengi yamekua na impacts ndani ya Israel. Mfano Kuna makombora yalirushwa Asubuhi ndani ya Israel na yameleta impactKila siku no impact, baadae mnakamata wanaopost na kufungia mitandao,mara hq zinawaka moto
Ndio nguvu zenyeweDaudi na silaha na intelijensia ya marekani
We vibaya hivyo unawakatisha tamaa kobaaz mabushaBloomberg wanareport kuwa Russia wamesema haina mpango wowote kwa sasa wa kutoa msaada Iran
View: https://x.com/NiohBerg/status/1934975502571221309?t=T71VHGEzqU0FoN7sJZmYtA&s=19
Upo sahihi, lakini usiseme tumehamia. Mimi sio muisrael wala sina vinasaba nao wala sio mshirikka waoMmehamia kwenye ugaidi
HaiwezekaniUnaweza shangaa hata Ayatolah mwenyewe yahudi😎
IDF wametangaza siku 2 zijazo muziki ni mkubwaAisee hakuna kitu kby kama kupigwa kuanzia ndani irani apa ameisha
Basi na Rais mstaafu haiwezekaniHaiwezekani
Sio mimi niliyeleta hizo allegations, bali ni wananchi wa Iran. Ukweli sijui ni upiBasi na Rais mstaafu haiwezekani