SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ila jamani tuseme ukweli hii nchi ya Iran imewekewa vikwazo vikali na nchi zote za Ulaya na USA kwa miaka 40 plus. Lakini haya ndio mapigo yake. Je ingekuwa haina vikwazo ingekuwaje?

Hapo Israel anapata kila aina ya msaada anaoutaka kutoka many countries. Iran yupo peke yake na vikwazo vyake.

Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
 
Ila Iran alikuwa amefika mbali sana kijeshi isingekuwa mbinu Yao ya mapandikizi huyo America na Israel wangepata shida sana
Iran angefika mbali kijeshi kama visingekuwepo vikwazo.

Vikwazo vimeizuia Iran kuwa na modern fleet ya ndege za kisasa kwani hakuna nchi yoyote iloruhusiwa kuiuzia Iran vyombo kama ndege za kivita ambazo kama Iran ingekuwa nazo leo mashariki ya kati pasingeshikika.

Hata ndege ilokuwa nazo haikuweza kuzitumia kwani vipuri vyote haikuwa rahisi kuvipata kutokana na vikwazo na mfano ni yule raisi wao aliefariki milimani kwenye ndege kuukuu ilotengenezwa USSR enzi hizo.

Pia Iran ilikuwa na modern ADS lakini kazi mojawapo ya Mossad ilikuwa ni kuishughulikia hiyo ADS na operators wake na pia kuwashughulikia makamanda wake.
 
Israel ni vampire yule mnywa damu za watu haangalii cha mtoto wala bibi. Israel ni kama wana kichaa binadamu wa kawaida hawawezi kuwa kama wao. They are the disgrace to the world
 
Wafuga Midevu na Majini akili zenu mnazijua ninyi wenyewe tu!! Umetuwekea hapa video tunaona tu Drone zikirushwa lakini hatuon F-35 iliyoangushwa huo ni uongo wa mchana kweupe hakuna F-35 iliyoangushwa. Endeleeni kujifariji tu!!
Dawa imekuingia. Pole sana
 
Endelea kulialia kama mtoto!!!!
 
Pole sana muisrael wa mwabwe pande. Mliyatafuta mumeyapata. Tulieni
 
Breaking News:
kikao kingine Cha Trump na baraza la usalama la taifa kwenye ikulu ya marekani muda huu. Tusubiri watakuja na lipi
 
Israel ni vampire yule mnywa damu za watu haangalii cha mtoto wala bibi. Israel ni kama wana kichaa binadamu wa kawaida hawawezi kuwa kama wao. They are the disgrace to the world
Umekaririshwa na nani habari hizo???
 
Wafuga Midevu na Majini akili zenu mnazijua ninyi wenyewe tu!! Umetuwekea hapa video tunaona tu Drone zikirushwa lakini hatuon F-35 iliyoangushwa huo ni uongo wa mchana kweupe hakuna F-35 iliyoangushwa. Endeleeni kujifariji tu!!
Pole sana angalia hio F35 ilivyo vurugwa mashoga zako huwa hawasemi wamepigwa hata USA kapanic kila kukicha mara nipo na control anga mara taingia vita hahaha sote tunajua Israel hapigani peke yake na Iran karibu nchi zote hizo zinamsaidia US, UK. France, Germany, Serbia, Jordan. Italy, UAE, Baharain. Hata Saud Arabia inasemekana




View: https://youtube.com/shorts/OBePXd3PP_c?si=nG9A35eZNAjJYpdB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…