SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Sahizi Waajemi wamejilalia zao tu wanamchora Mzayuni anavyohangaika kisha wakimaliza usingizi wao mapema alfajiri wanatuma vyuma kama ilivyo ada kwenda kwa Mazayuni.
 
Naona team iran imepoa saiv ,team israel ime take over Humu ni kutesa kwa zamu😹😹mida ya muajemi si mna ijua saa 11 hadi 12 asubuh saa za uku .
 
Kila mtu Iran ni mamluki hata huyo ayatollah ni mamluki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…