100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Regime change kivipi mzee, USA kakimbia anaacha base inavamiwa..Tangu juzi nakuuliza unajua maana ya regime change, je baada ya Taliban Mamullah walipokuwa toppled na Marekani nchi akakabidhiwa Karizai hiyo sio regime change?
Mchina na mrusi ni makafiri . Inabidi kuomba msaada kwenye nchi za kiislam na kiarabu . Ila kibaya zaidi nchi za kiislam na kiarabu zote ni dhaifu Kwa makafiri . Nchi za kiislam na kiarabu hazitaweza kumsaidia muiran atapambana vita bila msaadaKweli Mrusi na Mchina sio wa kuwategemea kupigwa kwa Irani ni ushindi wa MASHOGA😡
Kweli Mrusi na Mchina sio wa kuwategemea kupigwa kwa Irani ni ushindi wa MASHOGA😡
Nijibu swali langu kwanza,unajua maana ya regime change?Regime change kivipi mzee, USA kakimbia anaacha base inavamiwa..
US kafeli Afghan, nchi masikini isio na chochote, walio kwenye uongozi ni hao Taliban alikuwa anapambana nao kwani kaweka watu wake?
Walilemazwa vipi wakati Israel ilishindwa kuchukua hata mtaa...Houth na Hezboullah ni Kama walilemazwa kwanza
SourceSAM tayari ishafanya yake.msako wa kumtafuta Pilot unaendelea ila bado haijajulikana ni ndege aina gani kati ya F-16 au F-35
Nakuuliza US Afghan alifanikiwa kuweka kibaraka wake?Nijibu swali langu kwanza,unajua maana ya regime change?
KobaziRegime change kivipi mzee, USA kakimbia anaacha base inavamiwa..
US kafeli Afghan, nchi masikini isio na chochote, walio kwenye uongozi ni hao Taliban alikuwa anapambana nao kwani kaweka watu wake?
Kwanini unatumia hakuna haiwezekani haipo as if wewe ndio mtu fulani hivi top top.Uongozi Iran kubadilika tusahau, hakuna jambo kama hilo kutokea.. hii Regime change itaimbwa na itaisha... Hakuna lolote litakalotokea
Kwani lengo la Israel lilikuwa ni kuichukua Lebanon au kuwamaliza Hezbollah?Walilemazwa vipi wakati Israel ilishindwa kuchukua hata mtaa...
Hii vita ya Trump ni mipasho y twitter na truth.. may be anapigia campaign mtandao wake upate watu maana naona posts zake likes 7, 4, 6....
Labda anashindana na X ya Musk..
Kumuamini Trump ni ujinga..
Unaota wewe.Uwongo ndege ndio zenye ufanisi kuliko makombora
Subiri uone..Ngoja tuone mkuu, Mimi kwenye vita huwa sidharau chochote mpaka nione matokeo
Leo hii mnamkana Mshirika wenu sio? Ndio maana leo balozi wa Iran huko Russia kawachana kwa unafiki wenu.
Kati ya hayo lip limefanikiwa?Kwani lengo la Israel lilikuwa ni kuichukua Lebanon au kuwamaliza Hezbollah?
Kumbe wewe mtoto wa juzi,umekurupukia kwenye uwanja wa siasa za dunia juzi wakati wa vita ya Hamas na Israel sioNakuuliza US Afghan alifanikiwa kuweka kibaraka wake?
Lengo lao lilikua kuongeza buffer zone kwenye ardhi ya Lebanon kuanzia mto Latani.Kwani lengo la Israel lilikuwa ni kuichukua Lebanon au kuwamaliza Hezbollah?
sema we jamaa bana 🤣 🤣 🤣Mkipata kiongozi kama Zelewsky mshukuru sana hawa wengine huwa ni midomo tu. Saddam alikutwa kwenye shimo, Osama alikijificha huko Pakistan, Ghadafi mnajua kilichotokea. Assad alikimbilia Russia kuwekwa kinyumba na Putin. Ayatollah kakimbilia shimoni yeye na familia yake. Anataka kuishi.
View attachment 3373710