City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Ngoja tusubiri muda utatoa majibuSubiri uone..
Hapo hakuna jeshi litagusa Iran, mashariki ya kati yote inawaka moto...
Uongozi wa Iran hauanguki kizembe.. vitapigwa vyuma hapo mtapotea humu.. tusubiri muda ni kila kitu..
Libya, Iraq, Misri ilikuwaje?Uongozi Iran kubadilika tusahau, hakuna jambo kama hilo kutokea.. hii Regime change itaimbwa na itaisha... Hakuna lolote litakalotokea
Kuimaliza Hezbollah, wewe unadhani kwa vita hii Hezbollah angekaa kimya huku mfadhili wake mkuu anavyodhalilishwaKati ya hayo lip limefanikiwa?
nguruwe pori ndo wanataka kuongoza nchi mafamba hawa wapiga ndoleIla nyumbu wa Chadema chakavu mpo kwenye tabu aisee!π€£π€£π€£π€£
Hivi angezomewa ingekuwaje?!!!! Kwingine kina macron wanapigwa mpaka vibao. Kwahiyo wenyewe mnaona mmeshapata pa kukamatia katika harakati zenu za kuchukua nchi?!!!!
Hebu kuweni watu wazima basi jamani, dah!!
Mbona Hezbollah sasa hivi harushi hata jiwe Israel tena kipindi hichi kigumu kwa mfadhili wake mkuu kama anavyojitutumua Houth?Lengo lao lilikua kuongeza buffer zone kwenye ardhi ya Lebanon kuanzia mto Latani.
Usianze personal attack twende na hoja, tukianza personal attack hapa hatufiki mwisho... nakuuliza US ilifanikiwa kuwatoa Taliban ambao imepigana nao kwa miaka 20? jibu ndio ama hapana..Kumbe wewe mtoto wa juzi,umekurupukia kwenye uwanja wa siasa za dunia juzi wakati wa vita ya Hamas na Israel sio
Hata tusiposherehekea hakuna tunachoweza kubadiliWabongo tunasherehekea vita!!! Bogus
taifa lipi ?Nimeamini dunia inatawaliwa na taifa moja tu.
ππππTaarifa ndani ya Iran zinassma Ayatollah Khamenei amejifungia yeye na familia yake chini y handaki, mara ya mwisho ujumbe aliouacha kwa jeshi la Iran ni kubwa "nimewapa kila kitu kila nguvu hivyo mtajua wenye mtamalizaje hii vita"
View: https://x.com/Osint613/status/1935020414373102048?t=opwPncGlKplmV0ksTL57DA&s=19
Mbona mnajisahaulisha kuhusu mkataba wa amani alioshurutishwa ausaini kupitia serikali yake?Mbona Hezbollah sasa hivi harushi hata jiwe Israel tena kipindi hichi kigumu kwa mfadhili wake mkuu kama anavyojitutumua Houth?
Hezbollah ametoka kwenye mapambano kwa ceasefire, hukuona videos za maiti za IDF commandos Hezbollah wanazikanyaga..Mbona Hezbollah sasa hivi harushi hata jiwe Israel tena kipindi hichi kigumu kwa mfadhili wake mkuu kama anavyojitutumua Houth?
Wenzenu wanakufa huko sio muombe wapate nusura ya MunguHata tusiposherehekea hakuna tunachoweza kubadili
Iraq majeshi ya muungno(colition force) yalingia mazima kwenda kumtoa Saddam hussein. Sasa unaposema uwongozi kutolewa unamanisha uwongozi wa wapiItakachotokea uongozi uliopo unatolewa na kuwekwa mwingine, kama Iraq n.k
Akiingilia kwenye vita, wengine wanakaa pembenitaifa lipi ?