SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Tu and
Tubandikie evidence tusome wenyewe, usitatafsrie
 
Tu and
Tubandikie evidence tusome wenyewe, usitatafsrie, kwanza mtoe kabisa CHINA hanaga hiyo policy
 
JF ni moja ya jukwaa la majadiliano linaloongoza wanachama wake wengi kuwasilisha mada au kutoa maoni bila kufikiria mara mbili.

Sasa mada imeletwa lakini hakuna chanzo chochote cha habari cha kuaminika kilichoambatanishwa. Kwani hatuwezi kuwa kama watu wa nchi nyingine
? Ile sifa kuwa TZ inawatumiaji wengi wa Internet inaweza kuwa kweli na inawezekana kuwa watumiaji walio wengi ni watu wenye uelewa mdogo wa kujadili na kuchambua na kuwasilisha.
 
Ameambiwa wapi Iran lete ushahidi ila kobazi mna midomo
 
Umekunywa chai kweli wewe?
 
 

Attachments

  • Screenshot_20250618-111119.jpg
    578.4 KB · Views: 14
Waziri wa ulinzi wa Israel anasema utawala wa Iran unaanguka, mhda si mrefu wananchi wa Iran watakua huru. Symbols of power zimekua bombed and destroyed, na hivyo ndiyo ambavyo tawala zote za kidikteta huanguka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…