City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Kasome tena alichosema Khamenei, Khamenei amessma hayupo tayari hata kwa mazungumzoUelewa wenu mdogo, ayatollah kamjibu Trump kauli ya jana ya kujisalimisha, ayatollah kasema hawajisalimishi
Kwani Iran hawezi kupigana na wote wawili?Furusa walikua nayo ndio hii kweli, lakini akiingia USA hio haiwi furusa Tena. Ndio maana Trump anatumia neno "We have" nasio they have.
Majibu yako bro huwa yanazigua muda mwingine.Kwani Iran hawezi kupigana na wote wawili?
Kwa nini? Mbona Iraq walipambana na marekani na washirika wake wote japo alishindwa lakini alipambana naoMajibu yako bro huwa yanazigua muda mwingine.
Umeangalia video tu maelezo hujasoma!!..si ulizungumzia propaganda!!Kasome tena alichosema Khamenei, Khamenei amessma hayupo tayari hata kwa mazungumzo
Pia hii video uliyoweka mbona haihusiani na tunachojadili?
Mkuu huu mwaka 2025 nchi zote 2 kwa pamoja zimchangie Iran na Iran apigane peke yake??Kwa nini? Mbona Iraq walipambana na marekani na washirika wake wote japo alishindwa lakini alipambana nao
Mbona pazuri kuliko hata alipo Ayatoulah 😁🤣 😂
Watu wamekimbia nyumba zao huko Israel, wanalala na kuamkia kwenye kituo cha treni..
Hawatoisahau Iran..
Msituangushe usiku maana Leo Moto wa kifuu umememwagwa Iran sio poaKwani mchana huwa hatushambulii!?..dozi yetu alfajiri, alasiri, usiku
Kobazi wamemfanyia upasuaji wa pua mteule
Hahahaha jibu swaliMajibu yako bro huwa yanazigua muda mwingine.
Iran wanaonyesha unyonge sasa hapo. Mchana Khamenei alitoa press ya nguvu kuwa hata siku moja hatakubali kukaa kujadili chochote na kuhusu israel
Nishamjibu nenda kaangalie.Hahahaha jibu swali
Neno Propaganda na Kibaraka ni Common sana kwa watu wajinga.Hili neno propaganda mnalitumia kila muda si ajabu hamjui maana yake
Leo ayatollah Khamenei amessma nini kuhusu mazungumzo?? Unataka kusema aliwaongopea wananchi wa Iran?
Iran hana uwezo wakupigana hata na USA peke yake. Lakini Israel hana uwezo wa kumpiga Iran akiwa peke yake pia.Kwani Iran hawezi kupigana na wote wawili?
Moto wanaopelekewa leo na Zayuni hawana hamu tena AdiosamigoWa iran kabhuranzwiri mbona leo siwaoni jukwaani mko wapi ndugu zangu njooni tumtandike zayuni.
Dah aisee hawa jamaa ni jeuriiii!Iran's UN Mission Responds to President Trump:
No Iranian official has ever begged at the gates of the White House.
The only thing more despicable than his lies is his cowardly threat to 'eliminate' Iran's supreme leader.
Iran does not negotiate under pressure, will not accept peace under pressure, and certainly not with a warmonger who clings to shreds of relevance.