SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Iran lazima tu apigwe hana ujanja kamdomo kama po za kutisha kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia!!!
 

Attachments

  • IMG_3366.jpeg
    347.7 KB · Views: 19
Mkuu mimi hoja yangu ilikua pale uliposema hawezi kuingia hiyo vita, nimekutaadhaeisha tu kuwa anaweza kuingia sababu yapo mambo ambayp yalionekana hayawezekani lakini yalifanyika

Hayo yote unayossma ni sawa lakini usikatae moja kwa moja kuwa hawawezi kuingia Iran
 
Mazayuni wabaya sana. Washafanya Tehrani kama barazani kwao. Wanagonga kombora mwanzo mwisho. Air defence system za Irani ziko wapi? Kwa ule uwezo tuliokuwa tunaambiwa wanao ilitakiwa wawe wameshashambulia vituo vya kijeshi na kupunguza uwezo wa kijesho wa mazayuni.
 
Hawezi kaka. Hiyo ni mikwara mbuzi tu. Iran yupo na nuclear na nyuma ya Iran wanajua yupo Pakistan na China. Kuvamia Iran ni machafuko Duniani kote. Washia wote dunia na ndania ya USA kutakuwa na ugaidi wa kufa mtu. Hawezi USA kuingia kwenye risk hiyo.
 
Aliepo Tehran ni US.
 
Pakistan ipi iliyomdindia?
 

Attachments

  • Screenshot_20250618-093503.png
    347.1 KB · Views: 26
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…