SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Attachments

  • Screenshot_2025-06-18-23-16-58-570.jpg
    316.1 KB · Views: 17
Vita havipendezi lkn mfumo anaotumia Iran kuporomosha makombora usiku kama huu sio nzuri hata kidogo waisrael wanalazwa matanga bila kupenda na kujawa na hang over ya usingizi kukikucha warushe vibaruti jioni kazi Iko palepale,na sisi waswahili tangu makombora haya yalipoanza hatulali mchana tunatembea tumefumba macho sasa Israel ipoje
 
Wengi ambao wana kelele Iran ni wale Teenagers ambao wanadanganyika na Holywood, wazee wenye kumbukumbu na mateso Ya Shah wanafahamu vizuri namna ya kutawaliwa na puppet.

Ayatollah kajitahidi mno kuiendeleza nchi na kutoa Huduma basic kwa wananchi even though wana Vikwazo.
 
Lakini hata ayatollah pia amewadictate sana, Kuna raia wengi wamepitia mateso ya utawala ayatollah, Kuna mamia wameuwawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…