100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Mkuu hizi video pia unapaswa kujua ni za lini, ndio maana mm hupenda mtu aweke link ili source ya ilipotoka ionekane na iwe rahisi kwa mwenye doubt kufanya traceabilityMbona video zinazotumwa zinaonesha yanapenya kaka?
Ya Khomeini kaka imeleta unafuu.Tutakesha hapa, tawala zote hiyo ya ayatollah na hiyo ya kina pahlavi hazijawapa nafuu yoyote wairan
Kwa hio from no where mpaka kuwa nchi ya 15 kwa Contribution za Kisayansi, kuanza kujitegemea kutengeneza magari yenu, Treni zenu, makombora kama hayo, wananchi wote kupata huduma za Afya elimu etc, kuwa na malls na miundombinu best Duniani sio nafuu Kwa wananchi?Tutakesha hapa, tawala zote hiyo ya ayatollah na hiyo ya kina pahlavi hazijawapa nafuu yoyote wairan
Mkuu weka link ya hii taarifa ili iwe rahisi kwa mtu kuisoma na kujua chanzo chakeHaya sasa.. tukisema hapa Israel inaficha inavyopokea kichapo watu wanabisha, jerusalempost hio..
Hali si nzuri kwa Israel.. wanatisha wananchi kuwafunga jela wakipost
BREAKING: ISRAEL PUTTING CITIZENS IN PRISON IF THEY POST VIDEOS SHOWING IRAN BOMBINGThe Israeli militaryโs Chief Censor has signed a new order allowing the prosecution of civilians and media outlets who publish footage of missile impacts, drone strikes, or classified security information.Source: Israeli media:
Oya Israel anatema bungo sasa hivi kama nyani lamamayeee.Iran waki shoot drone ya Israel aina ya Hermes muda huu..
View attachment 3375481
Huyo jamaa nimeona anabisha kwa kusema utawala wa Shah na Ayatollah ni sawa kwa kuleta maendeleo ya wananchi, nimegundua hajui lolote..Kwa hio from no where mpaka kuwa nchi ya 15 kwa Contribution za Kisayansi, kuanza kujitegemea kutengeneza magari yenu, Treni zenu, makombora kama hayo, wananchi wote kupata huduma za Afya elimu etc, kuwa na malls na miundombinu best Duniani sio nafuu Kwa wananchi?
Iran Raia wake wanatumia Metro, Yes metro ambazo Hata Marekani Hana za maana na Metro ya kwanza Wametengenezewa na China sasa hivi 85 percent wanatengeneza wenyewe, Nauli ni sh za Tanzania 135 tu haijalishi unaenda wapi,
View attachment 3375480
Sio Ai jamani hizo mbona zinashuka kiulainiMbona video zinazotumwa zinaonesha yanapenya kaka?
Tunalinganisha two devil's who is the lesser one or? Maana je leo hii 2025 kama pahlavi angeendelea kusingekua na hizi treni?Kwa hio from no where mpaka kuwa nchi ya 15 kwa Contribution za Kisayansi, kuanza kujitegemea kutengeneza magari yenu, Treni zenu, makombora kama hayo, wananchi wote kupata huduma za Afya elimu etc, kuwa na malls na miundombinu best Duniani sio nafuu Kwa wananchi?
Iran Raia wake wanatumia Metro, Yes metro ambazo Hata Marekani Hana za maana na Metro ya kwanza Wametengenezewa na China sasa hivi 85 percent wanatengeneza wenyewe, Nauli ni sh za Tanzania 135 tu haijalishi unaenda wapi,
View attachment 3375480
Sio kaka AI zinajulikana that's fecking real.Sio Ai jamani hizo mbona zinashuka kiulaini
Sijabisha kuhusu maendeleo sababu ni lazima kuwe na mabadiliko kwa utawala wa maka ya 1970 na sasa, hata Tanzania ya miaka ya 1970 na sasa ni tofauti.Huyo jamaa nimeona anabisha kwa kusema utawala wa Shah na Ayatollah ni sawa kwa kuleta maendeleo ya wananchi, nimegundua hajui lolote..
Kaka unabisha bure bana.Tunalinganisha two devil's who is the lesser one or? Maana je leo hii 2025 kama pahlavi angeendelea kusingekua na hizi treni?
Unataka kusema ile Iran ya 1970's hadi Leo ingekua palepale?
Hao hawana rationale thinking capacity, wana religious oriented minds.Tunalinganisha two devil's who is the lesser one or? Maana je leo hii 2025 kama pahlavi angeendelea kusingekua na hizi treni?
Unataka kusema ile Iran ya 1970's hadi Leo ingekua palepale?
Tunashindanisha watu wa uzao mmoja,taifa Moja na dini Moja,suala la religious affiliation linakujaje bro?Hao hawana rationale thinking capacity, wana religious oriented minds.
Huyo hajui chochote mkuu unamuonea bure tu, hajui historia yeyote ya Iran..Kaka unabisha bure bana.
Hadi kufikia 1970 Iran ilikua Ina BIG ECONOMIC CRISIS.
Tena hapo serikali Ina ushirikiano na USA and allies.
Embu nenda kafuatilie hata google anguko la uchumi aliloleta Pahlavi.
Bado hamjasema hadi mseme.Kutoka makombora 300 hadi 5 ๐๐๐ au ndio wanatunza kwa ajili ya Qatar na Saudia.
It's weird, Pahlavi kapinduliwa 1979, more than 45 years ago, kweli bado Iran iwe palepale tu??Hao hawana rationale thinking capacity, wana religious oriented minds.