City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Kama tunalinganisha miaka 45 iliyopita na Leo unafikiri watasemaje?Hilo la Mama Samia nimelisikia juzi eti kaleta maendeleo kuliko marais wote waliopita tangu Nyerere,yaani mahaba yakizidi na akili inapungua.
Mkuu City Thunder OKC unaona watu unaobishana nao kwa facts akili zao zilivyo,yaani Russia apeleke wataalamu wake wa nuclear Iran kipindi hiki cha vita tena hizo reactor zenyewe zipo mashakani.BREAKING: RUSSIA AND IRAN NUCLEAR DEALRussia could continue working with Iran in nuclear energy and ensure interests in this area, Putin said.More than 200 specialists from Russia are in Iran building two more nuclear power plant units, the president added. Russia has reached an agreement with the Israeli leadership to ensure their security.
Russia wameshindikana, ina maana hapo Israel akijichanganya kuwashambulia hao wataalamu, lazima watatubu.. huu ni mtego.. 😂 😂 😂 😂
Ngoja tusubiriWamepokea kichapo heavy leo..
Wanataka kulipiza kisasi..
Hata Kenya ni middle upper income bila kuwa na mafuta wala gas.Tanzania nayo si nchi mfu kaka?
Ifananishe na Iran hiyo hiyo iliyowekewa vikwazo vya kiuchumi tangu 1979.
Ila iko middle upper income country Tanzania low income country.
Kwani Vatican kuna uspecial gani haswa au ni jambo gumu na la ajabu kwako?Anasema mtu ambaye id yake inadai yuko vatican city
Mpaka 2005 tulikua na chini ya 5000km za lami,na kipindi cha nyerere kama ungeondoka dodoma 1970 na kurudi 1985 ungekuta mji uko vilevile, serikali haikujenga sekondari hadi 2005,lakini 2006 kuja leo kuna maendeleo makubwa yamefanyika katika elimu,afya, miundombinu nk,hata watz leo wanajua kufanya biasharaKama tunalinganisha miaka 45 iliyopita na Leo unafikiri watasemaje?
Akili ya kawaida tu hivi kweli toka miaka ya 70 hadi leo hii tusingekua na barabara mikoa yote? Tusingekua na treni? Tusingekua na miji iliyojengeja vizuri? Kweli kabisa tungebaki palepale?
🤣🤣🤣 Kenya!!..na Iran!?..Hata Kenya ni middle upper income bila kuwa na mafuta wala gas.
Teh teh kweli hizi akili ni zakuvukia barabara tuu,population ya mwaka 1970 ni sawa na 2005 usemayo?Mpaka 2005 tulikua na chini ya 5000km za lami,na kipindi cha nyerere kama ungeondoka dodoma 1970 na kurudi 1985 ungekuta mji uko vilevile, serikali haikujenga sekondari hadi 2005,lakini 2006 kuja leo kuna maendeleo makubwa yamefanyika katika elimu,afya, miundombinu nk,hata watz leo wanajua kufanya biashara
Unakula githeri machakos unadai uko vatican city,kama siyo religion fanaticism ni nini!?..kitu ambacho umenyooshea wengine kidole, patheticKwani Vatican kuna uspecial gani haswa au ni jambo gumu na la ajabu kwako?
Umesema Iran ni middle upper income country, ndio nikakujibu hata Kenya ni middle upper income country bila kuwa resources za mafuta wala gas,nini hujaelewa hapo?🤣🤣🤣 Kenya!!..na Iran!?..
Population na hayo mahitaji vinahusiana nini!?.. population ikiwa ndogo ndiyo barabara zisipitike masika,huduma za afya mbovu,shule zisitoshe!?..kichwa chako kiko sawasawa?Teh teh kweli hizi akili ni zakuvukia bara bars tuu,population ya mwaka 1970 ni sawa na 2005 usemayo?
Hivi unaweza linganisha kenya na Iran!?..Umesema Iran ni middle upper income country, ndio nikakujibu hata kesho ni middle upper income country bila kuwa resources za mafuta wala gas,nini hujaelewa hapo?
Unabana pua kabisa 'kenya ni upper middle income countryUmesema Iran ni middle upper income country, ndio nikakujibu hata kesho ni middle upper income country bila kuwa resources za mafuta wala gas,nini hujaelewa hapo?
Hizo ni habari ambazo zimejiri leo,we unabisha,we una matatizo, aliyekua anaongea ni Putin mwenyewe,jambo rahisi la kutafuta tu mtandaoniMkuu City Thunder OKC unaona watu unaobishana nao kwa facts akili zao zilivyo,yaani Russia apeleke wataalamu wake wa nuclear Iran kipindi hiki cha vita tena hizo reactor zenyewe zipo mashakani.
Ujenzi unaendelea kama kawaida, hio si wamepos mossad leo..Ni habari ya muda Wala sio breaking News. Putin alishazungumza na Israel wahakikishe usalama wa wataalamu wake huko Iran
Msikilize mwenye Putin hapa
View: https://x.com/MOSSADil/status/1935460076577321086?t=CuK1NaOH4eCm6XecO8CA5Q&s=19
Kumbe shida yako ni inferior complexUnakula githeri machakos unadai uko vatican city,kama siyo religion fanaticism ni nini!?..kitu ambacho umenyooshea wengine kidole, pathetic
Kuna majitu humu sijui yapoje..Hizo ni habari ambazo zimejiri leo,we unabisha,we una matatizo, aliyekua anaongea ni Putin mwenyewe,jambo rahisi la kutafuta tu mtandaoni
Anaondoa za nini, mbona Israel wana intercept missiles zote, aziache wana ADs bora sana US..Ndege zote zimeondolewa zilizopo kwenye kambi ya jeshi ya marekani iliyopo Al udeid nchini qatar kutokana na kuhofia mashambulizi ya Iran.
Hizi ni dalili za US kutaka kuishambulia Iran?
View: https://x.com/Osint613/status/1935453290759696571?t=19juhFN0LO94MLdCfM8dSA&s=19