SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Nakumbuka kipindi nipo form 4 mwalimu mmoja alisema wazungu wa ulaya magharibi wanajua ushilikiano pamoja na USA.
Afu kingine brics ni kumuia iliyojengwa na watu wenye asili tofauti tofauti mpk tamaduni kuliko NATO na washilika wake kwa asilikia kubwa.

Kinachotokea kule ni noma sana.

Ila iran anatakiwa kupiga maeneo ambayo itasaidia kuwazui Israel wasifanye mashambukizi iran.
Yani kulipigia jeshi likiwa kule kule Israel.
Badala yake wanapiga apartment za raia office za serikali , masoko. Pamoja hospital, shule kitu ambacho haileti madhara jeshini mwa Israel
 
Eli Bin, head of the Magen David Adom ambulance service, says a floor at Soroka Hospital that was hit this morning was evacuated of patients only yesterday amid the war.

“Many lives were saved,” Bin says.
 
Ya brics ni uchumi ila sio jeshi.

Iran inatakiwa halenge maeneo ya jeshi ili kuziofisha jeshi la Israel ili kusimamisha ushetani wao.

Sasa sijajua shida Iko wapi maana Tangu mwanzoni wanapiga public facilities kitu ambacho hakuna impact jeshini.

Vinu vya vyukria vya iran vilikuwa chini ya ardhi ila wazayuni wavilenga na baker booster.
 
Hazipigwi apartments za raia, zinapigwa sehemu muhimu. Labda uwe haufuatilii mapigano yao yanayoendelea.
 
Wanalia nini? wenyewe si wanapiga Gaza hadi hospital
Ayatollah anawaonjesha dozi waliyozoea kuitoa kwa wagonjwa wa Gaza.
Mbona kama tumepigwa sana leo.
Haya wale wasemao Israel wanaficha ukweli leo mbona kila kitu kimeonekana?
Videos anaruhusu zitoke ni zile ambazo anaamini dunia ikiona itamuonea huruma kwamba anaonewa.

Anachokifanya Zayuni uswahilini tunakiita JANJA YA NYANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…