SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Watu walisema makombora yanadunguliwa.
Ben_de_portival hiki ni nini hapa chini??
Shambulizi la usiku kuamkia leo.
View attachment 3369204View attachment 3369205View attachment 3369206
Sio yote ila mengi yame be intercepted we huoni zile video, kama yote yangepita Israel ingekuwa kifusi sababu Iran kashapiga zaidi ya missiles 250 na leo morning karusha kamikaze zake zimenaswa zote , ila Israel anajitahidi kwenye ulinzi wa anga Iran alete ndege yake aone kama itarudi ata 1
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Mta nena kwa lugha soon
 
Unaogopa sana mkuu.
Central Israel imechakaa vibaya sana.
Watu wengi wamefukiwa na vifusi.
Asubuhi hii tu zimepatikana maiti 10 za wazayuni.
 
Unaogopa sana mkuu.
Central Israel imechakaa vibaya sana.
Watu wengi wamefukiwa na vifusi.
Asubuhi hii tu zimepatikana maiti 10 za wazayuni.
Siogopi kitu najua IDF wako Iran wanafanya kazi yao maana anga yote ni yao, na wanapiga sehemu nyeti tu, kila wanapowagusa panauma🤌
 
Iranians thread.
Siko upande wowote ule, ila kwa Uzi huu, taarifa zitakuwa zinaegemea upande mmoja Tu.
 
Siogopi kitu najua IDF wako Iran wanafanya kazi yao maana anga yote ni yao, na wanapiga sehemu nyeti tu, kila wanapowagusa panauma🤌
Hivi vyuma vyote IDF hawakujua vilipo? Mnyonge mnyongeni ila iran leo kaonesha kwamba anaweza.

Kumbuka kiintelijensia yahood anasaidiwa na mataifa makubwa sana. Pamoja na hayo bado irani anaonesha kwamba yuko vizuri
 
Vita bado mbichi subiri tunasubiri MOB toka USA ipo inaletwa kwa meli tuishushe pale Tehran halafu tuombe maongezi ya amani, sema hezboallah siwasikii kabisa tangu tuwa ovadozi wamekuwa wapoleee
 
Safari hii haitokuwa rahisi kama mnavyodhani. Baada ya shambulizi la kwanza mlijua Iran imekwisha na itafyata lakini sasa hv Tel Aviv na Haifa zimekuwa kama Ukraine. T
 
Safari hii haitokuwa rahisi kama mnavyodhani. Baada ya shambulizi la kwanza mlijua Iran imekwisha na itafyata lakini sasa hv Tel Aviv na Haifa zimekuwa kama Ukraine. T
Majengo yatajengwa hela ipo, ila tunaomba location ya ayatolah tuna kazi nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…