SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Siyo hivyo tuu, Israel amepiga red crescent head office ambayo ni makao makuu ya shirika la huduma ya kwanza kama red cross.
 
Sawa! Lakini haiondoe picha kwamba hayo si maeneo ya kijeshi na ya kiintelijensia.

Na ikitokea vita maeneo hayo ni halali kuondolewa.

Sasa unachobisha ni kipi?
 
Mkuu mambo sio RAHISI kama mnavyofikiria au kutaka yawe

Unajua fika kabisa kwamba kwasasa anga la Iran kwakiasi kikubwa lipo chini ya Israel..... hataka kama ni silaha atazipitishia wapi? Si zitalipuliwa fasta tu zikitaka kuingia Iran

Au ulikua unataka Russia aanze kuishambulia Israel moja kwa moja wakati yeye mwenyewe yupo vitani na Ukraine na washirika wake wanampelekesha puta mwaka wangapi huu
 
Anga la Israel lipo chini ya Iran.. ndio maana missiles zinaingia kama kawaida..
 
Wameshambulia au wameipunyua tu, hawa wa iran nao washaanza kunikera ngoja nikatagute marejesho tu 😏
Target haikua hospital na wao wamesema ilikua tunnels katka jengo la pembeni ambao ni intelligence services na wameliporomosh lote na madhira yamefika hadi Soroka, Hata angelipangusa ni sawa IDF wamebomb hospital zote Gaza iweje wao waumie? Yaani mkuki Kwa nguruwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…