SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kwenye vita na Hesbullah madege ya US yalikuwa yanashuka Ben Gulion kuongeza stock ya makombora KWA ajili ya Iron dome batteries ila hii ambayo ni hatari zaidi hatusikii
 
Kama Iran wangepata credible intel support kidogo tu, wangeweza kuharibu coordination ya mifumo ya ulinzi ya Israel.

Hata hizo alleged nukes zao, zingelipuliwa hapo hapo zilipo!

Hata Iran ikishindwa vita hii leo, Israel na US wamepata some kubwa sana!
Kuna siku ile amargeddon ya wayahudi itatimia!
 
Kwenye vita na Hesbullah madege ya US yalikuwa yanashuka Ben Gulion kuongeza stock ya makombora KWA ajili ya Iron dome batteries ila hii ambayo ni hatari zaidi hatusikii
Zikitokea taarifa za kiintelejensia kama hizo, Iran itailamba hio airport, tukumbuke kwamba kwa sasa hakuna mahala ambapo Iran inashindwa kutandika..
 
Kupindua uongozi uliopo, lazima watu wapoteze maisha na miundo mbinu ichakae; uongozi uliopo Iran utatolewa, haijalishi wanakufa wangapi au majengo mangapi yatapotezwa.

Rejea Iraq, Libya, Afghanistan n.k​
 
Kwikwikwikwi. Umri wako ni miaka mingapi? Aliyeondoa uongozi wa Iraq ni Iran. Soma vita Iraq na Iran. Utakuja kunishukuru baadae
 
Kuna watu walisema Iran kaishiwa missiles!! Nikawachekiiii mmoja nikamuuliza je unafikiri Israel anaweza kuishiwa ndege za kushambulia? Jamn hii vita ni nyepesi kuingia lakini kutoka Sasa na sasahivi ili utoke sio maamuzi Yako Tena ni maamuzi ya upande mwingine utoke ama la?
 
Iran iliipiga Iraq kiongozi..
Iran sio Iraq, ni kweli makamanda wengi wameuawa lakini Iran haiwezi kupigwa na Israel, hadi sasa Israel wamegundua walikosea mahesbu, Iran imekwisha ji organize kwa haraka sana, chain of command imeshakaa vyema...

Hakuna mtu alitegemea hilo, sasa hivi msako wa Mossad ndani ya Iran unaendelea, ndio maana IDF wameanza ku bomb vituo vya polisi, sasa polisi na vita vinahusiana nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…