Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Iran iliipiga Iraq kiongozi..
Iran sio Iraq, ni kweli makamanda wengi wameuawa lakini Iran haiwezi kupigwa na Israel, hadi sasa Israel wamegundua walikosea mahesbu, Iran imekwisha ji organize kwa haraka sana, chain of command imeshakaa vyema...
Hakuna mtu alitegemea hilo, sasa hivi msako wa Mossad ndani ya Iran unaendelea, ndio maana IDF wameanza ku bomb vituo vya polisi, sasa polisi na vita vinahusiana nini?
Kwanini anaweka ujumbe wa video wakati yuko kwake, atoe statement liveMkuu wa majeshi ya Iran amesema katika ujumbe wa video uliowekwa na vyombo vya habari vya Iran kwa wakazi wa Israel kwamba "hasa Tel Aviv na Haifa wanapaswa kuhama haraka iwezekanavyo ili kuokoa maisha yao".
Jenerali Mkuu Abdolrahim Mousavi pia amesema kuwa "operesheni zilizofanyika hadi sasa zimekuwa ni onyo kwa ajili ya kuzuia (mashambulizi)", na kwamba operesheni ya "kisasi" kutoka Iran "itafanyika hivi karibuni".
Ingawa mashambulizi ya Iran yameua angalau Waisraeli 24 tangu Ijumaa, makombora mengi ya Iran yamezuiwa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
NdiyoKuna hospitali ilishambuliwa huko Iran?
Israel walipiga hospital Iran,acha kujilizaIran pia wana bomb hospitali, je hospitali na vita vinahusiana nini? Yeyote anayetaka kukata roho mwili huwa unaangaika, wanachofanya Iran sasa ni kuhangaika tu, ia mwisho watajisalimisha na uongozi utabadilishwa.
Exactly mfano mzuri jana usikuIsrael haijazuia raia wake kuchukua picha au video, imezuia zile zinazowaletea aibu na kuonyesha wanabondwa. Hizi za kutafuta huruma au kutoa uhalali wa kushambulia raia na wagonjwa zinasambazwa na mossad na Jeshi lenyewe ili wao wakijibu wapige popote. Ndio maana Kuna wengine wanasema Al aksa flood wakijua wapalestina wangekuja kuua raia wao wakapotezea, wakachelewa hata kuzuiq makusudi Hamas wasiendelee kuua raia ili baada ya hapo wapate uhalali wa kujiuliza wanavyotaka na ikiwezekana kuchukua Gaza yote au nusu moja KWA moja.
Iran lazima uongozi ubadilike, ata wapigane vipi; ata Iraq, Libya, Afghanistan, Gaza n.k walipigana pia, na mwisho wa siku uongozi ukaondolewa.Israel walipiga hospital Iran,acha kujiliza
ime chapwa wakiwa ndani ,japo news wana sema iran kapiga hospital kutia sympathy, command ilkua apo hospitalHivi wamefanikiwa kuibutua hio command center?
Iran Hajapiga Hospital bali base mbili za IDF ambazo zipo karibu na Hospitali, na Hospital yenyewe ni ya Jeshi ambayo ni legitimate Target.Israel bombed 36 hospitals in Gaza
Israel bombed 40 hospitals in Lebanon
Israel bombed 3 hospitals in Iran
So why are they complaining about hospitals being bombed?They targeted hospitals. On the other hand Iran targeted a military building close to the hospital. The hospital was used as a human shield and it was impacted ONLY by shockwaves.
Ni maeneo pia magaidi wanapojifichia.Israel bombed 36 hospitals in Gaza
Israel bombed 40 hospitals in Lebanon
Israel bombed 3 hospitals in Iran
So why are they complaining about hospitals being bombed?They targeted hospitals. On the other hand Iran targeted a military building close to the hospital. The hospital was used as a human shield and it was impacted ONLY by shockwaves.
Hili jambo naona mnalisema sana, hii ni kuivunjia heshima Iran.Kama Iran wangepata credible intel support kidogo tu, wangeweza kuharibu coordination ya mifumo ya ulinzi ya Israel.
Hata hizo alleged nukes zao, zingelipuliwa hapo hapo zilipo!
Hata Iran ikishindwa vita hii leo, Israel na US wamepata some kubwa sana!
Kuna siku zile amargeddon ya wayahudi itatimia!
Russia anayumbishwa na Ukraine, mwaka wa ngapi huu?
Hata hapo Israel ni hospital IDF walikuwa wanaficha silaha na IDF walikuwa na ofisi ..Ni maeneo pia magaidi wanapojifichia.
Ni balaa sana aiseeBREAKING: Tel Aviv stock market drops 3%, total losses estimated at $475 billion
Israel inakwenda kuwa kama failed state..Wameanza kuibiana Sasa
🇮🇷⚡️🇮🇱 Israeli TV channel reports thefts from Israeli homes after alarm sirens sound and people flee to shelters.
⚜️@TheSimurgh313
Mzee nimekuwambia usome Vita vya Iran na Iraq wewe unakuja kutuletea mambo ya Bush.
Nani kapata hasara kati mrusi na Ukraine 😃Russia anayumbishwa na Ukraine, mwaka wa ngapi huu?