Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Mkuu unabisha ili iweje? Unalijua jeshi la Israel? Huyo wa kwanza kulia Ni Major General Rafi Milo. Nenda Google andika Major general Rafi Milo. Basi utapata majibuHao si wanajeshi hao ni kikosi cha uokoaji cha Israel
Mtoa update uko biased upande mmoja zaidi , ukiamua kuwa mtoa update inabidi ubalance habari, otherwise ni update batili, haisaidii kama ni kweli umeamua kutupa updatesDuuuuh where is Iron dome?
Huenda wairan wameichezea mifumo ya Israel
View: https://x.com/DD_Geopolitics/status/1933983267390382527?t=WG8lswepZU0LDr5SKTautg&s=19
Tulieni wayahudi kutoka Bunda..Ww muiran wa buza unazingua
Haaaaaaa leo iyo kuna kambi ya MAGAID wa IDF ndani ya hospital lengo ilikuwa ni Magaid tu.Unapiga residential area badala ya military facilities then unajisifu.
Wanaongea sana ndio maana wanapigwa , mdomo unakuwa mwingi saaana, Khamenei yeye anaonga taratibu mara moja moja lakini akitoa dozi ni balaa..Netanyahu anasema ni Mwisho wa Khamenei. It's over Khamenei
Picha sio halisi ni ya mfano
View attachment 3375885
Hawana huo uwezo..Breaking News:
Netanyahu muda huu anasema, sasa ni rasmi malengo ya Israel ni kuizuia Irani mpango wake wa nuclear na pia kumuondoa Khamenei (regime change)
View: https://x.com/Osint613/status/1935671499794391529?t=GunZu1LTLd4K6Jfau1DgSg&s=19
Halafu ndio mwanzisha uzi ila yuko biased sana na Iran akipigwa huwa anaususa uzi hata siku 2 Ayatoulah akitoka shimoni na ye anarudi sema watakaa hawa ni suala la mudaMtoa update uko biased upande mmoja zaidi , ukiamua kuwa mtoa update inabidi ubalance habari, otherwise ni update batili, haisaidii kama ni kweli umeamua kutupa updates
Mkuu wote ni waongeaji na watendaji pia. Israel kwenye mission hizi za elimination huwa wako vizuri. TusubiriWanaongea sana ndio maana wanapigwa , mdomo unakuwa mwingi saaana, Khamenei yeye anaonga taratibu mara moja moja lakini akitoa dozi ni balaa..
Humu hakuna kitu ni uongo na mashindano. Hakuna habari yoyote ya Ukweli humu.Write your reply...vita vimejaa propaganda za upande unae egemea sehemu moja
Ngoja tusubiriHawana huo uwezo..
Kitawaka leo Tehran aiseewanajeshi wa Israel wakiwa eneo la tukio wakiassess kombora la Iran lililotua leo
View attachment 3375870
Hakuna nchi ambayo Haina raia wasiojielewa?sasa we kinakuuma nini?? wenyewe wenye nchi wanashangilia "freedom is comming now" Pisi zinachoma hijab, wewe mmatumbi wa Tanganyika masagati unalialia nini
View: https://www.youtube.com/shorts/YxYOfyycvKA?t=18&feature=share