SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

USA, Israeli na west wanataka regime change Iran ili liwe Taifa linalowategemea wao kwa kila kitu in return wawape mafuta na gas.

West hawataki kizazi kinachofikiri na kuchalenge ndio maana Babu zetu Africa walipojaribu kuwa wahunzi waliwakamata na kuwaua/kuwafunga huku wakitaka watu wawe makarani wao.
Hata sasa Africa tunatukuzwa ukisomea kuwa ofisini masomo kama uhasibu, Ugavi na ugawaji, nk tumediscourage engineering, science, technology nk.

Kizazi cha sasa cha Iran ni tishio kwa west, kama wamekaa na vikwazo zaidi ya 40yrs na bado wako moto hivyo basi ni hatari hao raia.
 
We unahisi maendeleo ni kumiliki missiles tu wakati dunia iko busy kufika Juani na ai pamoja na vitu vingine vingi,
Na Iran anatumia income nyingi anayopata baada ya kuuza mafuta kufadhili ugaidi na kutengeneza mabomu ndio maana raia wake wana maisha magumu
Pia vikwazo aliwekewa kiasi kwani alikuwa anafanya biashara nyingi zinazohusu nishati na madini
 
Yes ila nyie si mnawataja kama marafiki wenu but si kwetu ni maadui
Majini ni viumbe kama wewe Wana fate kama wewe maana wanapaswa kutenda mema,wapo wahuni kama wewe na ndiyo maana Quran imekataza ushirikiano wa majini na binadam kumuasi Mungu, tatizo binadam mnadhani hii dunia yenu pekee yenu,majini na viumbe vyote vilikuwepo kabla ya binadam,so acheni kuwapiga mbwa barabarani bila sababu,dunia yetu sote
 
Huo ni mtego kaka ambao Pakistan 🇵🇰 lazima aukatae. Kwanini asitumie hizo base zake za kijeshi kwa puppets zake wa kiarabu.
 
Mtu awe na wake buku mahawara mia saba,halafu eti watoto watatu,hapo si ni wazi story imetungwa na mtu mwenye upeo wa mtoto wa darasa la pili
Na mkaambiwa lugha ya mbinguni ni kiarabu 🧸Dah
Niache mjukuu wangu akili yangu inakuwa hopless 😁
 
Kufa ni moja ya majukumu vitani. Haondoki mtu wala hatuogopi kifo
Ni maini yako, wananchi wa Iran hawamtaki Ayatollah, wanataka secular government , we mmatumbi wa tanganyika unajitesa bure
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…