SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hivi kwenye quran tukufu daudi na Suleiman walikuwa wafalme wa taifa gani
Daudi na suleiman walikua ni descendant wa Ibrahim ambaye alikua ni mtu wa Iraq, mwenye asili ya middle East kama watu wengine wa Middle East alikua na nywele nyeusi na Rangi ya wastani, hawakuwa wazungu wenye blonde hair na Blue eyes.

Descendants wao ndio hao wapalestina na walebanon unaowaona leo, kama Genetics studies inavyoonesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…