SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kwamba Iran imeporomoka(failed state) haina cha kupoteza, unajua maana ya 'haina cha kupoteza'?
 
Ingekua hivyo basi media zote zisingekua zinatangaza habari yoyote kabla
Au kwa nn kila muda media zinamuuliza trump uamuzi wake ni upi. Kwa nn wasisubiri mpaka atapoamua kutoa uamuz?
Leta update mkuu achana na mijadala wengine tunafuatilia kinacho endelea huko hatuna mpango wa kulala kwa sasa ili mionzi ikianza kuzagaa tutoke nduki kuokoa maisha 🙏
 
Leta update mkuu achana na mijadala wengine tunafuatilia kinacho endelea huko hatuna mpango wa kulala kwa sasa ili mionzi ikianza kuzagaa tutoke nduki kuokoa maisha 🙏
Updates zipo nyingi tu Kuna vyanzo kutoka kila angle. Tehran kuna total blackout (giza umeme umekatwa) lakini bado wapo watu wameweza kurekodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…